Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakikishwa!.
P
Hapa ndio umesema kwa weledi. Chanzo cha haya maneno ya hovyo mitaani ni tabia chafu ya serikali yetu kupenda kusema uongo.

Hakuna anayemuombea mabaya VP wetu hata kidogo, lakini wameshindwa nini kuwaambia raia wake kama ni mgonjwa ili nasi tumuombee dua njema?

Kwani binadamu gani huwa haugui? Hayo ya kusema eti yuko kikazi nje ya nchi kimya kimya ni dharau kwetu na kwa mgonjwa (kama anaumwa) na ndio yanafanya watu wajiulize au hayupo tayari?

Taharuki mwasisi wake ni dola yenyewe!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
MaJukumu yasiyojulikana!!yasiyoripotiwa!yasiyoonekana!

Kweli ni majukumu,yasyopigwa hata picha ya ukumbusho!

Kila la heri kwake!!
Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakikishwa!.
P
 
Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakikishwa!.
P
1. Siku hizi majukumu ya VP nje ya nchi ni siri?

2. Kwanini haya yanafanyika kwa VP wakati rais huwa tunajulishwa?

3. Ikiwa anaumwa je si haki Watanzania kujulishwa?

4. Kuna ulazima wowote kila wakati Kasimu kubebeshwa jukumu la kusema uwongo?
 
Kuna siku nikipata utulivu ntaandika kitu kuhusu Sub-conscious mind on how people manifest fear , hate ,jealous. And etc.

Hii ipo hivi MTU hana muda na hapendi kujishughulisha kupata au kusikia habari nzuri za MTU au WATU au mambo mazuri na vitu chanya na mwisho Wa hawa watu huwa wako negative emotions driven .

Ntaelezea namna ya kujitoa huko. Unaweza kuona habari mbaya za MTU ndo zinapendwa , nyimbo za kuachwa , migogoro ,vita ,n.k
 
Andiko lako litasaidia kuwabadilisha tabia?
 
Kubadilika hiyo nguvu IPO ndani ya MTU mwenyewe yeye ndo anaweza kujitoa hapo , Mimi Kama Mentor nafanya kazi ya kumjenga MTU kiakili ,kihisia na kumpa insight na sight ili aweze kufanya machaguo sahihi na hatimaye kuwa the complete human being.
 
Kuna siku nikipata utulivu ntaandika kitu kuhusu Sub-conscious mind on how people manifest fear , hate ,jealous. And etc.

Hii ipo hivi MTU hana muda na hapendi kujishughulisha kupata au kusikia habari nzuri za MTU au WATU au mambo mazuri na vitu chanya na mwisho Wa hawa watu huwa wako negative emotions driven .

Ntaelezea namna ya kujitoa huko. Unaweza kuona habari mbaya za MTU ndo zinapendwa , nyimbo za kuachwa , migogoro ,vita ,n.k
Tulishaga anzanga kuandika Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
 
Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakilishwa!.
P
😁
IMG_20231206_063037.jpg
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
1. Hivi majirani mlio karibu na makaazi ya VP hali ya kuingia na kutoka watu kukoje huko?

2. Kwani hadi sasa familia ya VP wanasemaje?

4. Wafanyakazi wa ofisi ya VP wanasemaje?

5. JK, Pengo na Rugabwa wanasemaje?

6. Pascal Mayalla anasemaje?

7. Nasser Abdul na Khadija Kopa wanasemaje?

8. Je asipoenda leo kwenye hayo maadhimisho na badala yake kukawa na mwakilishi itatafsirika vipi?
 
Hapa ndio umesema kwa weledi. Chanzo cha haya maneno ya hovyo mitaani ni tabia chafu ya serikali yetu kupenda kusema uongo.
Hakuna anayemuombea mabaya VP wetu hata kidogo, lakini wameshindwa nini kuwaambia raia wake kama ni mgonjwa ili nasi tumuombee dua njema? Kwani binadamu gani huwa haugui? Hayo ya kusema eti yuko kikazi nje ya nchi kimya kimya ni dharau kwetu na kwa mgonjwa (kama anaumwa) na ndio yanafanya watu wajiulize au hayupo tayari?
Taharuki mwasisi wake ni dola yenyewe!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwani unekatazwa kumwombea hata kama haumwi?mitanzania mingine bana ni ya ovyo saaana aisee
 
Back
Top Bottom