Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe


... mlipa pesa ZOTE kwenye miradi mikubwa ya nchi yetu...!!!
Kwa hiyo ukilipa pesa zote kifuatacho ni kuomba ubunge.
 
Mpango atarudi kwenye kiti chake cabinet ijayo, pia Prof Kabudi, Ummy, Jenista Muhagama, Kamwele hawa watarudi kwenye nafas zao pia.
 
Hill jimbo la zitto kila mtu anafahamu na ndo Mbunge anyelitawala
 
Wamefufua uchumi au wamefifisha uchumi ?
 
Mpango atarudi kwenye kiti chake cabinet ijayo, pia Prof Kabudi, Ummy, Jenista Muhagama, Kamwele hawa watarudi kwenye nafas zao pia.
Huyu Jenista ndo anarudi kabisaaaa kiulaini maana kule kwetu hakuna wa kumzuia, yaan anaslay atakavyo, inakera pia some times khaaaah
 
Na yeye aje na mipango dhabiti wa kuliendeleza jimbo siyo huyu mlevi Obama.Yaani Jimbo lipo ovyo mbaya sana as if halina mbunge
 
Mpango ameshaona utamu wa pesa za siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…