Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe

Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe

Dkt Mpango anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kusimamia ufufuaji uchumi wa Tanzania na kuwa moja ya chumi zinazokua kwa kasi Afrika na duniani kwa ujumla, Dkt Mpango ndiyo amekuwa mtafutaji na mlipaji wa pesa zote kwenye miradi mikubwa ya nchi yetu kama vile SGR na bwawa la kufua umeme la Nyerere, hivyo wana Buhigwe na wana Kigoma kwa ujumla tembeeni kifua mbele kuwa mmepata mkombozi wa kweli hasa wakiungana na Prof Ndalichako.
Aende tu kugombea. Sisi tunasubiri tu kumwona bungeni
 
Back
Top Bottom