mkuu wa kijiji
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 966
- 1,052
Swadakta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah , nadhani nilikua nazungumzia kutia nia jimboni ninakotoka.Bado nini mkuu?!
Hivi shuleni mlienda kusomea ujinga?,rudia kusoma uelewe kisha ujibu kwa ufasahaBuhingwe ya sasa mbuge wake ni zitto?
Ila awamu kiboko.Yeye alitengenezewa wizara Yake Hana haja ya kuminyana kwenye makampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah , nadhani nilikua nazungumzia kutia nia jimboni ninakotoka.
Ndio mkuu, ila kila nikiangalia naona kama vile nisubiri kidogo upepo huu wa 2020 upite, maana kuna kizaa zaa hapo mtifuano hautakua mdogo.Unataka kujitosa?!
Ndio mkuu, ila kila nikiangalia naona kama vile nisubiri kidogo upepo huu wa 2020 upite, maana kuna kizaa zaa hapo mtifuano hautakua mdogo.
ObamaMbunge wa sasa wa Huko ni nani ???
Chini ya jpm tayari mpango Ni mbunge Mkuu.Amri itatoka juuKauli yake ya jana imenirudisha nyuma sana,maana nilikuwa na nia thabiti ya kwenda kupimana ubavu na Obama lakini baada ya statement ya Dr Mpango jana sina sababu tena ya kwenda Buhigwe, ikizingatiwa tena na kauli ya mwenyekiti watu ambaye pia ni rais aliposema kabla ya kutia nia jipime kwanza na uone kama wanaotia nia unawazidi nini.
Lakini pia siasa za Buhigwe ziko dominated na watu wa Manyovu toka kitambo. Na Dr Mpango anatokea Muyama ambako hawajawahi toa mbunge lakini Manyovu ndiko kwenye population kubwa zaidi ya Muyama.
Sijui itakuwaje ikizingatiwa jimbo la Buhigwe linaundwa na tarafa hizo mbili kongwe
Si mmekua wote? Kwanini asifike kama wewe umeshafika?Mama yako hajafikia Menopose?
Babu veppe?Nyege zinamsunbua. Ndo kawaida ya nyege za wamama walio kwenye menopozi
Mama gani anamtukana mwanae? Basi nina bahati mbaya sanaMama yako leo unaniita dadako? Stupid!
Poa sana kiongozi wangu...Babu veppe?
Kumbe wewe ni ke!!!!??Mama yako leo unaniita dadako? Stupid!