Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe

Kauli yake ya jana imenirudisha nyuma sana,maana nilikuwa na nia thabiti ya kwenda kupimana ubavu na Obama lakini baada ya statement ya Dr Mpango jana sina sababu tena ya kwenda Buhigwe, ikizingatiwa tena na kauli ya mwenyekiti watu ambaye pia ni rais aliposema kabla ya kutia nia jipime kwanza na uone kama wanaotia nia unawazidi nini.
Lakini pia siasa za Buhigwe ziko dominated na watu wa Manyovu toka kitambo. Na Dr Mpango anatokea Muyama ambako hawajawahi toa mbunge lakini Manyovu ndiko kwenye population kubwa zaidi ya Muyama.
Sijui itakuwaje ikizingatiwa jimbo la Buhigwe linaundwa na tarafa hizo mbili kongwe
 
Ndio mkuu, ila kila nikiangalia naona kama vile nisubiri kidogo upepo huu wa 2020 upite, maana kuna kizaa zaa hapo mtifuano hautakua mdogo.

Jimbo gani mkuu, au nawewe ni wa buhigwe?
 
Buhigwe? Mpakani mwa Tz na Burundi...aiseee kule mahali kumechoka balaa, Buhigwe nzima inna Guest moja.?
 
Kauli yake ya jana imenirudisha nyuma sana,maana nilikuwa na nia thabiti ya kwenda kupimana ubavu na Obama lakini baada ya statement ya Dr Mpango jana sina sababu tena ya kwenda Buhigwe, ikizingatiwa tena na kauli ya mwenyekiti watu ambaye pia ni rais aliposema kabla ya kutia nia jipime kwanza na uone kama wanaotia nia unawazidi nini.
Lakini pia siasa za Buhigwe ziko dominated na watu wa Manyovu toka kitambo. Na Dr Mpango anatokea Muyama ambako hawajawahi toa mbunge lakini Manyovu ndiko kwenye population kubwa zaidi ya Muyama.
Sijui itakuwaje ikizingatiwa jimbo la Buhigwe linaundwa na tarafa hizo mbili kongwe
Chini ya jpm tayari mpango Ni mbunge Mkuu.Amri itatoka juu
 
Back
Top Bottom