Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,lakini sio sababu ya kusema hawezi kujiajili. Yeye kama mchumi mzuri aisaidie nchi yake,full stop.
Huenda anaogopa tiaraeiKuisaidia nchi ni lazima aajiriwe? Angekopa bank afungue viwanda vitoe ajira tuone nguvu ya PhD yake ya uchumi.
Huenda anaogopa tiaraei
Mkuu hao wanakubishia bure tu watu tunashuhudia huku mtaani wastaafu wanavoanzisha vibiashara vinakufa. Ukweli ni kwamba Waziri Mpango hana akili yoyote ya ku survive nje ya kuajiriwa maana angekua na uwezo huo angeshafanya hivyo.Ahaaa ahaaa. Au ndio hao wachumi wenye PhD lakini ni motivational speakers?
Mkuu hao wanakubishia bure tu watu tunashuhudia huku mtaani wastaafu wanavoanzisha vibiashara vinakufa. Ukweli ni kwamba Waziri Mpango hana akili yoyote ya ku survive nje ya kuajiriwa maana angekua na uwezo huo angeshafanya hivyo.
Hapo ndio unapokosea kwani kila mtu lazima awe mjasiriamali? Kisa tu ni mchumi. Nguvu ya Phd yake inaweza kutumika kama mtu anayeshauri taifa kwa masuala ya msingi ya kiuchumi.Kuisaidia nchi ni lazima aajiriwe? Angekopa bank afungue viwanda vitoe ajira tuone nguvu ya PhD yake ya uchumi.
Hata malaika wao kamwe huwezi msikia anaongelea kuwatoa watu kwenye umaskini zaidi zaidi atasema vibarua wameajiriwa stiglazHawawezi kutatua hili
Kwani cha ajabu nini? Kuna uhusiano upi Kati ya phd ya uchumi na kujiajiri? Hukumsikia malaika wenu anasema kuna mtu alikuwa na phd lakini walikuwa nae lumumba anazhngukazunguka huku wanamlipa laki 6 ndio wakamteua ukuu wa wilaya?We jamaa una matatizo? Mtu mwenye PHD ya uchumi hawezi kujiaajiri?
Sio Tanroads huyo alitolewa kufundisha uchumi mlimani/ udsm akapewa kuwa mtendaji mkuu wa tume ya uchumi enzi za BRN kipindi cha Jk ndio kawa na muendelezo wa kaxi za kuajiriwa Hadi leo,kifupi hawezi kazi yoyote nje ya kuajiriwa ndio maana malaika wao alijigamba kumtukana lakini jamaa hakuwa na cha kufanya kutunza utu wakeAlikuwa ameajiriwa Tanroads. Nitajie mahali alipowahi kujiajiri na mafanikio yake kabla ya kukabidhi maisha yake kwenye ajira. Waziri wa fedha ambaye anajua mambo ya fedha na ana PhD, asingekubali wafanya biashara wa Bureau de change kuporwa fedha zao.
Wewe kwa akili yako hiyo kaz ya uchumi ndo kaanza leo? Nini amesaidia miaka yote ambacho anaweza fanya leo? Hana kipya huyoSawa,lakini sio sababu ya kusema hawezi kujiajiri. Yeye kama mchumi mzuri aisaidie nchi yake,full stop.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Nachofurahi mm Hawa waajiriwa wa tiaraei nao wakiwa nje ya system biashara uchwara walizoanzisha na kujipa feza wakiwa kazn zinakufaHuenda anaogopa tiaraei
Miaka yote kashauri nini au ushauri wao ndio huo wa tiaraei?Hapo ndio unapokosea kwani kila mtu lazima awe mjasiriamali? Kisa tu ni mchumi. Nguvu ya Phd yake inaweza kutumika kama mtu anayeshauri taifa kwa masuala ya msingi ya kiuchumi.
Umewaona hao wa bureau tu, vipi wale Wajasiriamali waliokuwa na pesa zao benki zilizosimamishwa na wakaambulia 1.5m kati ya 50m au 70m Mtu alizokuwa nazo kweye akaunti?.Alikuwa ameajiriwa Tanroads. Nitajie mahali alipowahi kujiajiri na mafanikio yake kabla ya kukabidhi maisha yake kwenye ajira. Waziri wa fedha ambaye anajua mambo ya fedha na ana PhD, asingekubali wafanya biashara wa Bureau de change kuporwa fedha zao.
Makusanyo kutoka bil 8 mpaka tril 1.7 hulioni hilo?Wewe kwa akili yako hiyo kaz ya uchumi ndo kaanza leo? Nini amesaidia miaka yote ambacho anaweza fanya leo? Hana kipya huyo
Binafsi ningekuwa Rais kwenye nafsi kama hizi ningeweka watu wenye exposure na biashara tena za kimataifa sio kuchukua ma academician na kuwapa nafasi nyeti hakuna watafanya nje ya makaratasi waliyokariri si ajabu msukuma huwa anawaponda
5 tenaSawa, ila ulichoandika ndio kipimo jinsi makamasi yalivyojaa kwenye ubongo wako.
Hana jipya ameshawaagiza TRA wahakikishe wakusanya trilioni 2 kila mwezi ,Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani.
Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila nimeshuhudia kuwa watanzania bado wana hali mbaya sana kiuchumi. Watanzania wanaishi maisha duni, kula ni kwa tabu,kulala kwa tabu kwa kweli inasikitisha sana.
Ukweli ni kwamba watanzania sio wavivu, wanapenda kazi, maana nimeshuhudia kwa macho yangu, wanalima, wanachimba madini tena kwa mikono, wanafanya biashara. Kwa ujumla wanajituma japokuwa wapo baadhi ni wavivu na matapeli.
Lakini huu umaskini unatoka wapi? Fikiria mama ana mtoto mgongoni anajishughulisha kuosha vyombo kwa mama ntilie na analipwa shilingi elfu mbili, kwa jinsi pesa isivyo na thamani ataishi vipi?
Dkt. Mpango siku unaapishwa ulikiri kwa kinywa chako, ulipokuwa unafanya kampeni umeshuhudia umaskini mkubwa sana wa wananchi wa jimbo lako. Na ukweli ni kuwa hali uliyoishuhudia ndio hali halisi ya watanzania 75%.
Dkt. Mpango kama mchumi, unatusaidia vipi sisi watanzania kuepukana na hii hali? Je, huwa unamueleza ukweli mkuu wa nchi juu ya hii hali uliyoishuhudia? Una mpango gani wa kuleta sera nzuri za kiuchumi kuwaokoa hawa watanzania wanaoteseka?
Au uliongea kama unajikosha tu mbele ya umma,maana hatuoni ukichukua hatua ili kutunusuru.