PostGE2025 Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya kufanikisha azimio hilo, vyombo vya habari vilipokea vitisho vya kuchomwa moto kutoka kwa baadhi ya wanajamii na kwamba hata vingefanikiwa kukusanya taarifa za matukio vingeweza vipi kuchapisha taarifa hiyo ikiwa vingechomwa moto.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Novemba 25,2025 katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 ambapo pia amezungumzia wanaohoji vyombo vya habari vya ndani kushindwa kutoa taarifa za kilichotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku chombo cha habari cha CNN kikifanya kazi hiyo

Screenshot_20251122-090658~2.png
 
View attachment 3507129
Vipi leo Mungu ajamuonyesha kuhusu D9
 
Mbona sasa hivi bado hawapost? kwa kweli mnahitajika mfukuzwe nchini sio tu kuchomwa moto
 
Isingezimwa internet 29 Oktoba, tulishabeba nchi kwa 99.99% hata kama wangeendelea kutekeleza mauaji bado malaki ya watu wangetoka.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya kufanikisha azimio hilo, vyombo vya habari vilipokea vitisho vya kuchomwa moto kutoka kwa baadhi ya wanajamii na kwamba hata vingefanikiwa kukusanya taarifa za matukio vingeweza vipi kuchapisha taarifa hiyo ikiwa vingechomwa moto.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Novemba 25,2025 katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 ambapo pia amezungumzia wanaohoji vyombo vya habari vya ndani kushindwa kutoa taarifa za kilichotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku chombo cha habari cha CNN kikifanya kazi hiyo

View attachment 3507129
Mbona wali ripoti Kwa upendeleo lakini havikuchomwa moto aicc
 
Ila kuendelea kutabgaza matokeo hawakuogopa kuchomwa moto ... Hivi hawa ndo wazee wa hovyo .. Ukisikia wazee wa hovyo ndo hili
 
Kwa lugha nyingine, anasema salama yao ilikuwa kuripoti uchaguzi kama vile walivyofanya. Wangetoa ripoti halisi ya kweli kwamba kuna maandamano na kwamba vituo vimechomwa moto na kwamba hakuna wapiga kura waliojitokeza, ofisi zao zingechomwa moto na watu wasiojulikana.

Jifunzeni kusoma between the lines.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya kufanikisha azimio hilo, vyombo vya habari vilipokea vitisho vya kuchomwa moto kutoka kwa baadhi ya wanajamii na kwamba hata vingefanikiwa kukusanya taarifa za matukio vingeweza vipi kuchapisha taarifa hiyo ikiwa vingechomwa moto.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Novemba 25,2025 katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 ambapo pia amezungumzia wanaohoji vyombo vya habari vya ndani kushindwa kutoa taarifa za kilichotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku chombo cha habari cha CNN kikifanya kazi hiyo

View attachment 3507129
Hivi huyo Rioba matako ana akili kweli? Kwanini hakuripoti kuwa vyombo vya habari vimetishiwa kuchomwa moto? Muongo sana huyu fala. Kwa hiyo kutangaza matangazo ya ushindi wa Samia ndiyo havikuweza kuchomwa? Wakati mwingine ni bora kutumia kichwa kufikiri kuliko kutumia makalio yake. Shenzi huyu Samia na washirika wake waliyehusika kuua watoto wa kitanganyika wasio na hatia.....Rioba, wewe pia ICC itakuonja.
 
Back
Top Bottom