PostGE2025 Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?

PostGE2025 Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
hatimaye wakurya tumeanza kuwa wapumbav
Hao ni wapumbav toka muda tu. Kama huamini muulize muzee ya gombe na yule swahiba ake Butiku.
Unywaji wa togwa na misokoto ya bhange umeathiri sana neva zao za fahamu.
 
Wakati mwingine ni vema zaidi kunyamaza kuliko kuongea vitu vya kijinga
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya kufanikisha azimio hilo, vyombo vya habari vilipokea vitisho vya kuchomwa moto kutoka kwa baadhi ya wanajamii na kwamba hata vingefanikiwa kukusanya taarifa za matukio vingeweza vipi kuchapisha taarifa hiyo ikiwa vingechomwa moto.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Novemba 25,2025 katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 ambapo pia amezungumzia wanaohoji vyombo vya habari vya ndani kushindwa kutoa taarifa za kilichotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku chombo cha habari cha CNN kikifanya kazi hiyo


View attachment 3507129
Mbona habari za Uchafuzi walikuwa wanaripoti? Hizo walizirusha wakiwa chooni Ikulu?
 
Mbona kama anaruka kimanga? Walipokutana wakatoa azimio lao, ndio ikawa kimya wakawa hawaripoti kilichojiri. Wananchi walihaha kutafuta habari wakabahatisha media za nje kama citizen, al jazeera, bbc na cnn. kwenye mitandao nako kukazimwa nchi ikawa ya ajabu habari muhimu hazipatikani. Waungwana mngeomba radhi tu kuwa mliteleza kimaadili ya uandishi. Siku hizo ilitakiwa kila chombo cha habari cha humu kuwepo kwenye eneo la tukio kuripoti mikasa hiyo na hapo tungepata waandishi nguli walioripoti habari hizo kwenye mazingira hatari. Mliogopa bure kuripoti habari hizo, nchi inasonga mbele, msirudie tena kujikataza kuripoti habari ngumu
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya kufanikisha azimio hilo, vyombo vya habari vilipokea vitisho vya kuchomwa moto kutoka kwa baadhi ya wanajamii na kwamba hata vingefanikiwa kukusanya taarifa za matukio vingeweza vipi kuchapisha taarifa hiyo ikiwa vingechomwa moto.

Dkt. Rioba ameyasema hayo leo Novemba 25,2025 katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 ambapo pia amezungumzia wanaohoji vyombo vya habari vya ndani kushindwa kutoa taarifa za kilichotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku chombo cha habari cha CNN kikifanya kazi hiyo


View attachment 3507129
Ryob naye ni ku#_+*;";'))@(@@!"'?/)$(&+&'m#$-&a nyingine inavuja maji
 
Back
Top Bottom