Dkt. Rugemeleza: Kwa DP World, Samia na serikali yake wameisaliti nchi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti:


Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?!

Kwa hakika na zipigwe kavu kavu!

Heshima kwako peno hasegawa.

Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili maua yako!
 
 

Attachments

  • 5B9137EC-C7AA-4B96-BAD7-70D59AD51785.jpeg
    94.3 KB · Views: 3
  • 03738B3C-191A-4FF6-B502-204E451BDBD2.jpeg
    33.9 KB · Views: 3
 
Yes, Samia ni Msaliti.

Napenda sana watu wanaojitokeza na kumuita Samia jina analostahili, ni msaliti, sasa haaminiki tena, anaongoza watu wasiomuamini, huu ni ukweli naamini hata yeye binafsi anaujua.

Bahati nzuri zaidi ni kwamba, hawa wanaotoa hizi kauli sio wanasiasa, kama wangekuwa wanasiasa wangeweza kuyapuuza madai yao hata kama ni ya muhimu, na ya msingi, lakini sasa wanaolalamika ni watanganyika wote, bila kujali rangi, dini, kazi, wala jinsia zao, sote tunasema kauli moja: TANGANYIKA YETU.

Hizi kelele wanazoendelea kupiga chawa wake, ni sawa na mayowe ya mwenye njaa, hayasikiki, sauti zimewakauka hakuna anayejielewa anapoteza mida kuwasikiliza, na Samia kwa ujinga wake..

Badala ajitokeze huko mafichoni aje kujibu concern za anaowaongoza, ajabu ndio amewaacha chawa wawe wasemaji wake kwenye jambo la msingi, na la muhimu kama hili, kwa mustakabali wa vizazi vya Tanganyika, mjinga bado ameziba masikio, akiamini haya malalamiko ni upepo tu, utapita.
 
Usalama wa taifa hauwezi kukwepa lawama kwenye hili.
 
Kongole kwake Rugemeleza kwa kuona mbali Rais Samiah anatupeleka kaburini.
 
Ngoma inogile!! Yaan ni toa gambe weka gambe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…