Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww tuYes, Samia ni Msaliti.
Napenda sana watu wanaojitokeza na kumuita Samia jina analostahili, ni msaliti, sasa haaminiki tena, anaongoza watu wasiomuamini, huu ni ukweli naamini hata yeye binafsi anaujua.
Bahati nzuri zaidi ni kwamba, hawa wanaotoa hizi kauli sio wanasiasa, kama wangekuwa wanasiasa wangeweza kuyapuuza madai yao hata kama ni ya muhimu, na ya msingi, lakini sasa wanaolalamika ni watanganyika wote, bila kujali rangi, dini, kazi, wala jinsia zao, sote tunasema kauli moja: TANGANYIKA YETU.
Hizi kelele wanazoendelea kupiga chawa wake, ni sawa na mayowe ya mwenye njaa, hayasikiki, sauti zimewakauka hakuna anayejielewa anapoteza mida kuwasikiliza, na Samia kwa ujinga wake..
Badala ajitokeze huko mafichoni aje kujibu concern za anaowaongoza, ajabu ndio amewaacha chawa wawe wasemaji wake kwenye jambo la msingi, na la muhimu kama hili, kwa mustakabali wa vizazi vya Tanganyika, mjinga bado ameziba masikio, akiamini haya malalamiko ni upepo tu, utapita.
Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti:
Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?!
Kwa hakika na zipigwe kavu kavu!
Heshima kwako peno hasegawa.
Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili maua yako!

Wako bize na....Usalama wa taifa hauwezi kukwepa lawama kwenye hili.
Ila wewe Mwaipopo unasambaza upendo?Wakkatoliki acheni cchuki
Kwa hiyo ushauri wako ni kwa nani kuwanusuru ma laymen wasichanganywe?Sisi layman wanatuchanganya kwakweli, majaliwa alisema mkataba uko poa, na wengine wamepeleka kesi mahakamani kupinga mkataba, Rugemeleza anasema raisi ame*ea katiba kupitia huo mkataba!
Mjumbe hauwawi!Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti:
Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?!
Kwa hakika na zipigwe kavu kavu!
Heshima kwako peno hasegawa.
Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili maua yako!
Unahisi kwa nini amesapoti?Mwanafunzi wako tulia amesapoti hii agreement.
Umeandika ujinga alafu upo busy kushare linkTuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World
Wasalaam wana zengwe Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi. Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World. Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza...www.jamiiforums.com
Namba 3 na 4 ndio ukweli wenyeweUnahisi kwa nini amesapoti?
1. Yawezekana kweli mkataba ni mzuri
2.Yawezekana ameusapaoti bila kuulewa (kwa kutojua) - kama wengi tulivyo
3. Yawezekana ameusapoti kwa kuujua ukweli wake lakini akafumba au akafumbwa macho (kama inavyohisiwa kwa wabunge walioenda Dubai)
4. Yawezekana ameusapoti kwa kuogopa yalimkuta Ndugai - ukumbuke mkataba uliletwa bungeni baada ya kuwa umesainiwa tayari
Tena niliona mle bungeni spika alionekana kuufahamu vizuri mkataba kuliko wengine wote; ni kama alishausoma muda mrefu kabla. Ndiyo maana aliweza kuwavuruga akina Halima kila alipoona wanakwenda kugusa penye tatizo, anawatoa kwenye reli. Hivyo basi nyinyi wanasheria mkutane naye awaeleze, nayi mumueleze kile ambacho kimekaa vibaya. Mnajua bado mwenye uwezo wa kubadilisha hili jambo ni yeye, Nimeona kuna mahali mmeshauri Bunge likae upya na kufuta azimio/ridhaa yake kama njia pekee iliyobaki, Mwenye kuamua Bunge likae upya ni yeye.
Wapumbavu kama ninyi huwa hamkosekaniwatu katika harakati za kusaka ugali!
Mpumbavu Babako aliyeshindwa kutumia condom akaleta ujinga kama wewe duniani.Wapumbavu kama ninyi huwa hamkosekani
Mwezi huu hutopata hedhiYes, Samia ni Msaliti.
Napenda sana watu wanaojitokeza na kumuita Samia jina analostahili, ni msaliti, sasa haaminiki tena, anaongoza watu wasiomuamini, huu ni ukweli naamini hata yeye binafsi anaujua.
Bahati nzuri zaidi ni kwamba, hawa wanaotoa hizi kauli sio wanasiasa, kama wangekuwa wanasiasa wangeweza kuyapuuza madai yao hata kama ni ya muhimu, na ya msingi, lakini sasa wanaolalamika ni watanganyika wote, bila kujali rangi, dini, kazi, wala jinsia zao, sote tunasema kauli moja: TANGANYIKA YETU.
Hizi kelele wanazoendelea kupiga chawa wake, ni sawa na mayowe ya mwenye njaa, hayasikiki, sauti zimewakauka hakuna anayejielewa anapoteza mida kuwasikiliza, na Samia kwa ujinga wake..
Badala ajitokeze huko mafichoni aje kujibu concern za anaowaongoza, ajabu ndio amewaacha chawa wawe wasemaji wake kwenye jambo la msingi, na la muhimu kama hili, kwa mustakabali wa vizazi vya Tanganyika, mjinga bado ameziba masikio, akiamini haya malalamiko ni upepo tu, utapita.
Mwezi huu hutopata hedhi