Dkt. Rugemeleza: Kwa DP World, Samia na serikali yake wameisaliti nchi

Dkt. Rugemeleza: Kwa DP World, Samia na serikali yake wameisaliti nchi

Unawaza hedhi tu, utakuwa unahamu ya kupachikwa mimba wewe.
Kupa kupachika!?..wewe mama unayerukia kila Uzi na kuanzisha kila uchao nyuzi bandari na dp world ndiyo hutopata hedhi,hata mumeo humuhudumii,nywele sehemu za Siri hunyoi,kutwa kupinga waarabu
 
Ninaelewa ndiyo maana ninakushangaa wewe unayeandika andika tu kama mlevi!
Wanawake hawapati hedhi!?..babaako hanyi!?..nikisema babaako hatokunya mwezi huu ntakua nimefanya unyanyapaa!?
 
Kumbe kuna mswada wa mabadiliko ya sheria wa tarehe 12/05/2023 kwa ajili ya kurekebisha vifungu vya sheria ili viendane na hilo limkataba la DPW.
Kweli watu wamedhamiria.

SI MCHEZO!!!
 
Wanawake hawapati hedhi!?..babaako hanyi!?..nikisema babaako hatokunya mwezi huu ntakua nimefanya unyanyapaa!?

Hedhi na mkataba wa bandari wapi na wapi?

"Kwamba chawa mmechachawa kiasi hicho?

Mnadhani kwa njia hii mtatutoa kwenye reli? Wapelekeeni mrejesho:

"Hatupoi!"

Habari ndiyo hiyo.
 
Hedhi na mkataba wa bandari wapi na wapi?

"Kwamba chawa mmechachawa kiasi hicho?

Mnadhani kwa njia hii mtatutoa kwenye reli? Wapelekeeni mrejesho:

"Hatupoi!"

Habari ndiyo hiyo.
Ukiwa na stress mpangilio wa homoni huvurugika,hivyo kupelekwa tatizo la hedhi miongoni mwa mengi
 
Ukiwa na stress mpangilio wa homoni huvurugika,hivyo kupelekwa tatizo la hedhi miongoni mwa mengi

FxMkNxaWYAI0BVZ.jpeg
 
Kupa kupachika!?..wewe mama unayerukia kila Uzi na kuanzisha kila uchao nyuzi bandari na dp world ndiyo hutopata hedhi,hata mumeo humuhudumii,nywele sehemu za Siri hunyoi,kutwa kupinga waarabu
Tanganyika tunataka bandari zetu zote mlizotoa kwa waarabu milele, usinikasirikie!.
 
Shida mawakili Sio waoga kama sisi walimu (jokes)
 
Mawakala wa Shetani wapo busy.

Ksrsmsgi kawakusanya kagera nzima, mpaka Abba Tibaijuka leo eti ana kauli?

Yeye kilimtowa serikalini nini?
 
Kila mtanzania amchangie huyu Rugemeleza Nshala kiasi chochote kuanzia shilingi elfu moja na kuendeleza.
 
Back
Top Bottom