Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Ma Ustaadh wamejikita kwenye taaluma ya Uhasibu!
 
Wakili msomi wa maCCM ndugu Wasonga ametangazwa kuwa mshindi na mwenyekiti wa uchaguzi huo ndugu Jecha Salim Jecha
akasonge ukatili wa ccm na serikali yake, aiche taaluma ya wasafi kama Rugeleleza Nshala!
 
Wanyakyusa wametaradadi TLS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
tatizo lenu hamumjui vizur huyo jamaa..hahahahahah mnachekesha...
 
Lawyers wana wajibu mkubwa kwa jamii. Utawala wa sheria Tanzania unapitia kipindi kigumu. Nina imani Nshala na timu yake watatoa mchango maridhawa katika hili. Hatuhitaji mwanasheria mwenye mlengo wa Status quo kipindi hiki.

All the best!
jambo msilolijua ni kama usiku wa giza nene...sisi yetu macho
 
tobaa mbona akina anko lissu na aunty Fatma kibao jiwe iko sheeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…