Dkt. Rugemeleza Nshala ashinda kuwa Rais wa TLS

Hapa ndipo nimeamini Lissu ana ushawishi mkubwa sana kwa jumuia ya mawakili wasomi nchini. ..
Ushawishi huu na sympathy kwa wananchi utaishangaza dunia oct 20
Hongera sana Nshala
Umemharibia kwani kukaa kimya bila kumtaja TL kunaghrama gani?
 
Naona kama Ufipa watupu.......kazi kweli kweli!
Hawa mwaka utaisha wakiwa wanaitunishia Serikali msuli,hawata kua na jipya ,zaidi ni milengo ya kisiasa.

Kipi fatuma karume anaweza jivunia katika uongozi wake,alikua bingwa wa kushinda mitandaoni kupost vijembe dhidi ya Serikali,badala ya kuleta mageuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…