Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Yaani kwa akili yako tu Sina la kuongeaWajukuu zako si wajengee sasa unataka kuwa rithisha bandari au? hakuna kujibu hoja wala nini. Serikali imechaguliwa inawakalisha wewe subiri 2025 gombania ukipata nafasi fanya maamuzi. Huu ujinga kila mtu utawaambia nini wajukuu zako ni ujinga mkubwa, wajukuu zako ni wako fanya kazi uwachie mali waje kuuza wagawane kidogo watakukumbuka kwenye dua zao.