johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sioni cdm na Act wakipewa nafasi na hiyo TBC. Sana sana natarajia kuona ccm na michepuko yake Nccr, Cuf, TLP nk wakipewa nafasi.
Kiongozi na muamuzi wa kila kitu ana jukikana. Asije ulizwa nani kamruhusu.. Na bajeti ime toka waoi?Asitoe ahadi mapema. Tusubiri maana hawakawii kubadilika!
Ryoba muongo sana huyo, yeye angebaki na CCM tu kama ilivyo ada na ndipo anapolipwa
TBC watachuja sana, awaachie vyombo vingine tunavyovijua vina balance habari za Kampeni