Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Amuulize mhando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemfukuza kazi kwa sababu ya kutembea na wake za watu.Mkurugenzi wa TBC Dr Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni.
Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia maadili ya viongozi.
Kadhalika Dr Ryoba amesema atakuwa na kikao na viongozi wa vyama vya siasa ili kuweka utaratibu mzuri wa matangazo nyakati za kampeni.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hapo wanatafuta namna ya kumrusha Magufuli peke yake, huu ni mtego Chadema wakigoma itawarahizishia zaidi mpango wao.
Chadema wakikubaki watarusha mkutano mmoja halafu watasema haina maadili wanakatisha matangazo wataendelea na Magufuli.
NCCR, TLP, CUF na wengine watarushwa Sana Ila sio Chadema na ACT.
Watangaze ya kina Kibajaji, Lusinde na Musukuma inatosha hao wengine wasio wa chama chao waachane nao mwisho wa siku mbivu na mbichi zitajulikana tu...Mkurugenzi wa TBC Dr Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni.