Uchaguzi 2020 Dkt. Ryoba: TBC itaonyesha mikutano ya kampeni ya vyama vyote vya siasa, wanasiasa watumie lugha za staha

Nimemfukuza kazi kwa sababu ya kutembea na wake za watu.
Tbc staha kama hizi ndio mnataka vile eeeh....?
Ahsanteni!
 
TBC wautumie Uzi huu Kama kioo wajione Jamii inavyowatazama.

Pia chadema na act ni watoto wa kambo wawaache tu muda si milele ipo siku watoto wa kambo watatoboa tu.

Nawashauri chadema waachane na hii TV ya chama cha mapinduzi hata kwenye huo mkutano na huyo mvaa bangili wasiende.
 
Chadema Wakikubali kuafikiana na CCM wajue kabisa mikutano Yao ambayo watu wako nyomi haitaonyeshwa badala yake itaonyeshwa mikutano ambayo wanawatu wachache mnooo au mikutano ambayo mapandikizi ya uvccm yamevaa nguo za chadema halafu wanawazomea meza kuu chadema hatimae fujo hivyo tbccm itaonyeshwa mikutano ya chadema yenye fujo .

Swali kubwa kwa chadema

Toka lini tbccm imekuwa fair kwenu?

Kama walishindwa kurusha mikutano yenu ya ndani watarusha hii ambayo nje Kuna nyomi?

Rai yangu

Upendo wa tbccm kwa upinzani wa kweli nchi hii sio mwema nawasihi Sana achaneni na vyombo vyenye mafungamano na CCM iangalieni channel ten wanayoyafanya kwenu angalau star tv kidooooogo naona wanajitahidi kubalance japo ni 70:40.
 
kwa nia njema kabisa nimshauri bw Ayubu asifanye hivyo atatumbuliwa haraka kama wenzake pale kina DJ wakimwaga shombo zao! chama chetu kina mengi ya kuelezea na muda hautoshi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbinu za uvccm

#MaendeleoHayanaChama
 
Lugha ya sitaha wamwambie yule aliyegongewa akahamaki hadharani wakati "Kuchapiwa ni siri ya ndani"
 
Watangaze ya kina Kibajaji, Lusinde na Musukuma inatosha hao wengine wasio wa chama chao waachane nao mwisho wa siku mbivu na mbichi zitajulikana tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…