Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika tarehe 18 na 19 Januari, jijini Dodoma.

1737103336735.jpg

1737103340020.jpg
 
Mama yetu kipenzi, Rais mwenye kujali wananchi leo amefanya kikao kikubwa hii yote kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Jan 18 na 19, 2025
===========

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika tarehe 18 na 19 Januari, jijini Dodoma.

Rais Samia mitano tena hadi 2030. Watanzania tunakupenda sana. Na Chama Cha Mapinduzi unakiongoza kwa uweledi mkubwa na mafanikio tumeyaona.

Snapinst.app_471751109_1314170163231247_3461013961685295901_n_1080.jpg
Snapinst.app_471763361_1298188658111330_7152956217847898379_n_1080.jpg
Snapinst.app_472402115_584798317752367_2627058898991386304_n_1080.jpg
 
Mama yetu kipenzi, Rais mwenye kujali wananchi leo amefanya kikao kikubwa hii yote kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Jan 18 na 19, 2025
===========

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika tarehe 18 na 19 Januari, jijini Dodoma.

Rais Samia mitano tena hadi 2030. Watanzania tunakupenda sana. Na Chama Cha Mapinduzi unakiongoza kwa uweledi mkubwa na mafanikio tumeyaona
Mbona chama chenu kimepotea sana kwenye rada za Tanzania siku hizi? Mnapatikana wapi siku hizi?
 
Macho na masikio yako dar kunako uchaguzi wa chadema. Hawa ccm wangesubiri chadema wamalize uchaguzi wao na wao wafanye uteuzi wa makamu mwenyekiti wao. Ona sasa tukio lao halipati coverage ya kutosha, limepoa
 
Mwenyekiti wa chama ana soma gazeti hadi kwa mazombie wenzie ,nilizani ana soma kwenye vikao na wakubwa na uku kwa wananchi tu inamaana ni mweupe na mvivu wa hoja kiasi ichi
 
Back
Top Bottom