Dkt. Samia atajwa Rais Bora Afrika 2023

Dkt. Samia atajwa Rais Bora Afrika 2023

So you can also do that,mmm?? Hivi unajua kwamba hata kuua under any circumstances is evil?Mkuu wars are of the Devil,we as humanity are supposed to live in peace as God's sons and daughter.So the fact that you are endorsing evil,shows clearly that you are of Satan and also evil.
Mumeo, kwahiyo Israel ivamiwe ikae kimya? shame on you, acha wapigwe mpka wapate adabu na wasirudie tena, shetani kabisa wewe, wao walivyoua waisrael walikuwa wanaua kuku?
 
Unaona akili zako,mwanamme atakuwaje na mme,tuachane mkuu,na-share na mtu ambaye siye,wewe ni wa aina ya Netanyahu,so sodomy is okay for you.
 
Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023

Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa katika kuimarisha maendeleo na utulivu nchini Tanzania.

The African Times USA imeangazia juhudi za Rais katika kuleta mabadiliko makubwa ambayo yameinua Tanzania katika nyanja za ukuaji wa uchumi, utawala bora, na mageuzi ya kijamii. Jitihada zake za kukuza umoja, demokrasia, na uwezeshaji wa wanawake zimeweka mfano wa kuigwa na viongozi kote barani Afrika.

Heshima hii ni uthibitisho wa kujitolea kwa Rais Samia katika kuhakikisha maendeleo na ustawi wa Tanzania na ahadi yake thabiti kwa ustawi wa wananchi wake.
View attachment 3071105
Kazi iendelee
 
🤔🙇🏿‍♂
20240816_120557.jpg
20240816_120553.jpg
 
Upuuzi mtupu
 
Hakuna kama mama.
 
Naona ni kututoa kwenye focus yetu ya kuhoji kuhusu kilichotokea kwa CDM kule Mbeya!
 
Hao walioandika huo upuuzi ni wendawazimu kabisa pengine hiki ndio kituko Cha mwaka 😆😆😆
 
Hivi alikua ni Mandela au nani yule alisema "Mkiona wazungu wanaanza kunisifia mjue nimeshawasaliti"?
 
Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023

Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa katika kuimarisha maendeleo na utulivu nchini Tanzania.

The African Times USA imeangazia juhudi za Rais katika kuleta mabadiliko makubwa ambayo yameinua Tanzania katika nyanja za ukuaji wa uchumi, utawala bora, na mageuzi ya kijamii. Jitihada zake za kukuza umoja, demokrasia, na uwezeshaji wa wanawake zimeweka mfano wa kuigwa na viongozi kote barani Afrika.

Heshima hii ni uthibitisho wa kujitolea kwa Rais Samia katika kuhakikisha maendeleo na ustawi wa Tanzania na ahadi yake thabiti kwa ustawi wa wananchi wake.
View attachment 3071105
As long as wazungu wanakula nakufanya wanachotaka then you’re the best ilaukiingilia mianya yao,wewe bepari na mkandamiza haki za binadamu acha watu wale nchi
 
Back
Top Bottom