MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
kweli watu hawajua huu mpango ulipangwa muda mrefu sn ...tangu 2010 walijua hii itatokea. ..it was a long short ila waliitengeneza aliekua kabla ya nyundo. ..he wanted mwanamke awekiongozi wa nchi aliposhindwa ndio akasema awe makamu. ..it was secret mission ila wachache sn ndio walikua wanalifahamu hili...na wakina mama wote niwatu wake.Naandika nafuta naandika nafuta.
Ila kuna mtu ni kilaza nchii hiii sijui nani alikuweka pale
Sema nikuambie kitu mkuu?kweli watu hawajua huu mpango ulipangwa muda mrefu sn ...tangu 2010 walijua hii itatokea. ..it was a long short ila waliitengeneza aliekua kabla ya nyundo...
Wew ni mafiMimi naona akiondoka huyu mama atakuja mtu wa kubagua kundi fulani la watu ambao wapo kisheria, mfano yule Dikteta uchwara alitubagua sana Watumishi wa Umma kwa kuondoa maslahi yetu.
Mbona watanzania ufikiri wetu ni mfupi sana? Pengine elimu yetu imetufanya tuwe na uwezo mfupi wa kutafakari.Tukipata kama bwana yule?
Yaani mtu kama yule kichaa wa Chato bora tubaki na huyu kiongozi wa sasa.
Hivi kwanza hesabu alipata ngapi??Mfano atasoma nini? Anajua hata hizo system zinatoa taarifa zipi? Kwa hiyo hadi Rais atakuwa na user ID za bandari? [emoji1787]
Hivi kwann mnaendelea kujidanganya na kumpotosha Rais? Kwanza mlimuingiza mkenge wa kusaini mkataba wa kibiashara na kampuni binafsi na siyo serikali ya Dubai. Inabidi Rais awashitukie wapambe kama nyinyi wenye malengo ya kujipe dekeza kwa lengo kuonekana lakini kimsingi upambe wenu hauna maana yoyote.Wale wakorea walioko TRA wameondoka ?!!!
Katika kujiandaa kuwapokea DP WORLD pale bandarini ninakukumbusha juu ya agizo la kipenzi chetu mh.Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwako juu ya kuhakikisha wale wakorea walioko TRA WASIONDOKE NCHINI mpaka waikamilishe vyema mifumo ya TEHAMA iweze kusomana vyema na TPA....
Tunazitaka zile trilioni 26 za DP WORLD(zaidi ya nusu ya bajeti uliyoiwasilisha fiscal year hii-44T) ambazo kama taifa tukijipanga vyema tutafika mpaka trilioni 60....
#Asubuhi Njema amen[emoji120]
#Hakika mama ataendelea tu kueleweka vyema...muda utaongea[emoji120]
#Mh.Rais SSH na maono kuntu [emoji120]
#SiempreJMT[emoji120]
Huo ndo ukilaza mwingine kwa nini asikisome kwa sasa ,na akikisoma haina maana kitakuwa chakoHivi kwanza hesabu alipata ngapi??
Maana huko ni numbers tu zinatiririka.
Leo alikua anamsifia kafulila na PPP nikasema bomu jingine hilo.
Hata ukikisoma nani amekuambia kitakuwa chako ,huo ndo ukilaza mwingien kwa nini mifumo isosomane kuanzia sasa ,hivi kuongeza gat na kuhakikisha mifumo inasomana wapi kuna gharama kubwaMfano atasoma nini? Anajua hata hizo system zinatoa taarifa zipi? Kwa hiyo hadi Rais atakuwa na user ID za bandari? [emoji1787]
Imegawiwa bure basiImeuzwa wapi na shs ngapi?
Tunampotosha kwenye lipi?!!! [emoji15][emoji15]Hivi kwann mnaendelea kujidanganya na kumpotosha Rais? Kwanza mlimuingiza mkenge wa kusaini mkataba wa kibiashara na kampuni binafsi na siyo serikali ya Dubai. Inabidi Rais awashitukie wapambe kama nyinyi wenye malengo ya kujipe dekeza kwa lengo kuonekana lakini kimsingi upambe wenu hauna maana yoyote.
Ulaya walibanana mbavu hadi kukaa sawa.Tukipata kama bwana yule?
Yaani mtu kama yule kichaa wa Chato bora tubaki na huyu kiongozi wa sasa.
Bado unazidi kupotokaImeuzwa wapi na shs ngapi?