Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

Naandika nafuta naandika nafuta.

Ila kuna mtu ni kilaza nchii hiii sijui nani alikuweka pale
kweli watu hawajua huu mpango ulipangwa muda mrefu sn ...tangu 2010 walijua hii itatokea. ..it was a long short ila waliitengeneza aliekua kabla ya nyundo. ..he wanted mwanamke awekiongozi wa nchi aliposhindwa ndio akasema awe makamu. ..it was secret mission ila wachache sn ndio walikua wanalifahamu hili...na wakina mama wote niwatu wake.
Ukiwa madarakani kabla hujaondoka nilazima uweke wakukulinda otherwise unaweza fungwa or shitakiwa
 
kweli watu hawajua huu mpango ulipangwa muda mrefu sn ...tangu 2010 walijua hii itatokea. ..it was a long short ila waliitengeneza aliekua kabla ya nyundo...
Sema nikuambie kitu mkuu?

Yote yana mwisho hata huyo aliyepanga haya, Mwisho wake upo

Tuombeane mwisho mwema
 
Mimi naona akiondoka huyu mama atakuja mtu wa kubagua kundi fulani la watu ambao wapo kisheria, mfano yule Dikteta uchwara alitubagua sana Watumishi wa Umma kwa kuondoa maslahi yetu.
Wew ni mafi
 
Tukipata kama bwana yule?
Yaani mtu kama yule kichaa wa Chato bora tubaki na huyu kiongozi wa sasa.
Mbona watanzania ufikiri wetu ni mfupi sana? Pengine elimu yetu imetufanya tuwe na uwezo mfupi wa kutafakari.

Utaridhikaje kuwa na kitu kibovu eti kwa sababu tu uliwahi kuwa na kibovu zaidi!

Kwanini usifikirie kupata kitu bora muda wote?

Wewe huyoni tukifanya uchaguzi huru na mfumo ukiwa mzuri uwezekano wa kupata rais bora ni mkubwa, na hata asipokidhi matarajio yetu tutamtoa na kuweka mwingine?

Back to the topic: Tunarudi kule kule. Rais hawezi kuongoza nchi yote mwenyewe.

Kwa kifupi Samia anadhani kwa sababu yeye pale Ikulu hawezi kuona kinachoendelea bandarini ndiyo maana mambo hayaendi vizuri. Bila kubadilisha mfumo ni bure.
 
Mfano atasoma nini? Anajua hata hizo system zinatoa taarifa zipi? Kwa hiyo hadi Rais atakuwa na user ID za bandari? [emoji1787]
 
Mfano atasoma nini? Anajua hata hizo system zinatoa taarifa zipi? Kwa hiyo hadi Rais atakuwa na user ID za bandari? [emoji1787]
Hivi kwanza hesabu alipata ngapi??

Maana huko ni numbers tu zinatiririka.

Leo alikua anamsifia kafulila na PPP nikasema bomu jingine hilo.
 
Wale wakorea walioko TRA wameondoka ?!!!

Katika kujiandaa kuwapokea DP WORLD pale bandarini ninakukumbusha juu ya agizo la kipenzi chetu mh.Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwako juu ya kuhakikisha wale wakorea walioko TRA WASIONDOKE NCHINI mpaka waikamilishe vyema mifumo ya TEHAMA iweze kusomana vyema na TPA....

Tunazitaka zile trilioni 26 za DP WORLD(zaidi ya nusu ya bajeti uliyoiwasilisha fiscal year hii-44T) ambazo kama taifa tukijipanga vyema tutafika mpaka trilioni 60....

#Asubuhi Njema amen[emoji120]

#Hakika mama ataendelea tu kueleweka vyema...muda utaongea[emoji120]

#Mh.Rais SSH na maono kuntu [emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hivi kwann mnaendelea kujidanganya na kumpotosha Rais? Kwanza mlimuingiza mkenge wa kusaini mkataba wa kibiashara na kampuni binafsi na siyo serikali ya Dubai. Inabidi Rais awashitukie wapambe kama nyinyi wenye malengo ya kujipe dekeza kwa lengo kuonekana lakini kimsingi upambe wenu hauna maana yoyote.
 
Hivi kwanza hesabu alipata ngapi??

Maana huko ni numbers tu zinatiririka.

Leo alikua anamsifia kafulila na PPP nikasema bomu jingine hilo.
Huo ndo ukilaza mwingine kwa nini asikisome kwa sasa ,na akikisoma haina maana kitakuwa chako
 
Mfano atasoma nini? Anajua hata hizo system zinatoa taarifa zipi? Kwa hiyo hadi Rais atakuwa na user ID za bandari? [emoji1787]
Hata ukikisoma nani amekuambia kitakuwa chako ,huo ndo ukilaza mwingien kwa nini mifumo isosomane kuanzia sasa ,hivi kuongeza gat na kuhakikisha mifumo inasomana wapi kuna gharama kubwa
 
Hivi kwann mnaendelea kujidanganya na kumpotosha Rais? Kwanza mlimuingiza mkenge wa kusaini mkataba wa kibiashara na kampuni binafsi na siyo serikali ya Dubai. Inabidi Rais awashitukie wapambe kama nyinyi wenye malengo ya kujipe dekeza kwa lengo kuonekana lakini kimsingi upambe wenu hauna maana yoyote.
Tunampotosha kwenye lipi?!!! [emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom