Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Dr Florence George Samizi, Jana tarehe 26/9/2023 ametembelea shule ya Msingi Nengo iliyopo Kata ya Biturana Wilaya ya Kibondo yenye watoto wa Mahitaji Maalum akiongozana na diwani viti maalum tarafa ya Kibondo Mwanne Kihemo, diwani Barinabas Shedrack Baranzila na Tatu Barakabitse, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Kigoma pamoja na viongozi wa CCM kata.

Mbunge Samizi akiwa hapo amewagawia magodoro 50 pamoja na vitanda 55 ambapo pia ameahidi ifikapo mwezi disemba atawaongezea magodoro tena 50. Miongoni mwa watoto wa Mahitaji Maalum wamemshukuru sana Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Dr Florence George Samizi, kwa msaada huo nk.

IMG-20230927-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom