BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
DKT. SAMIZI NA KIKAO CHA BARAZA LA VIJANA KIBONDO.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Dk. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni ambapo leo amefanya Kikao Maalum na Baraza la Vijana UVCCM Wilayani Kibondo na kupata kuzungumza na Vijana hao masuala mbalimbali yanayohusu ustawi na maendeleo yao.
#KaziInaendelea

Attachments
-
255683300056_status_044f0a49b2cc482ca289173381a5f28a.jpg57.7 KB · Views: 7 -
255683300056_status_01c3d561466147688ce92f000f10e536.jpg51.4 KB · Views: 6 -
IMG-20220717-WA0045.jpg60.2 KB · Views: 6 -
IMG-20220717-WA0046.jpg85.7 KB · Views: 8 -
IMG-20220717-WA0047.jpg57 KB · Views: 7 -
IMG-20220717-WA0048.jpg59.9 KB · Views: 7 -
IMG-20220717-WA0049.jpg51.6 KB · Views: 6 -
IMG-20220717-WA0050.jpg89.3 KB · Views: 6 -
IMG-20220717-WA0051.jpg86.4 KB · Views: 6