Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

Tikitiki maji sio alkaline halafu huyo Dr anataka tusile..navyojua vyakula vya alkaline n ndiz, limao,chungwa, avakado, ambazo vina nyuzi nyuzi.

Vyakula n dawa vyote ni sumu kikubwa ni kula vyakula ambavyo havidhuru sana mwili.
Mboga za majani ,matunda, maji, mazoezi hata ukiwa n magonjwa ya hovyo hovyo utapata nafuu.
 
Lugha iliyo tumika katika ujumbe huu ni ys Mpagaze Mimi namkubali sana, ametukumbusha ukweli, tupende vya kwetu havijagoshiwa.
 
Huyu Dr hana tofauti na mganga wa kienyeji anaekwambia ukamletee,Kuku jike mgumba,Kambare yatima,Mayai viza ya bundi akijua hautavipata kumbe ameshndwa kukiri wazi hawezi kutatua tatizo lako.

Dr anataka tuache kula kwa mazoea,Tusile ugali,mayai,ngano,maziwa,mafuta ya kupikia hadi maharage..KWELI???(Waganga wa kienyeji mnafeli hapo tu)

Yote aliyokataza Dr yanawezekana kwa matajiri tu sio na sisi maskini,Mwisho Dr angeweka wazi dawa zake ili zitusaidie wote wenye maradhi hayo.
 
Ameuliwa wakati ameachwa zaidi ya miaka 25 akitibu na kufanya mihadhara? Kama angekuwa tishio asingeachwa kwa muda wote huo.
Huu nao ni uzwazwa, ndani ya hiyo miaka unayosema alifanya kazi zake kwa uhuru? Hakusumbuliwa kwa kesi za ajabu ajabu? Kummaliza mtu lazima atafutiwe angle hasa mtu maarufu. Haondolewi kiholela Kama mbuzi wa mmasai
 
Huu nao ni uzwazwa, ndani ya hiyo miaka unayosema alifanya kazi zake kwa uhuru? Hakusumbuliwa kwa kesi za ajabu ajabu? Kummaliza mtu lazima atafutiwe angle hasa mtu maarufu. Haondolewi kiholela Kama mbuzi wa mmasai
Jamaa haelewi unaweza kutafutwa hata miaka 39 ukaja kumalizwa baadae
 
Kwa hiyo kwa uelewa wako uliotokana na kumfatilia huyo dr unashauri tule nini?
 
Kama kuna mtu anaweza kunieleza kwanini kirusi cha ukimwi hakipo(kwa maelezo ya mleta mada) anisaidie nielewe

Maana watu wanaambukizwa wanaugua na mwisho wanakufa asipotumia hizo ARV's,sasa hicho kinachoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine ni kitu gani?
 
Angalau umewafunulia watu ukweli, kazi kwao sasa.
 
Kuna mwanafunzi wa Dr.Sebi humu JF ngoja tumwite atusaidie majibu ya maswali yetu MziziMkavu
 

Huu ugumu tunao uona ni kwasababu ya mazoea tu ndugu yangu.
Ila ukiumwa utafanya tu hizo tiba.
 
Ngoja Leo nishindie maji tu na malimao...
Nime acha kabisa kutumia sukari tangu corona ilipo shika Dunia chai yangu ni tangawizi na limao nilicho note ukipiga kila siku kama Mimi mwili lazima upunguwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…