kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Wewe ni malaya wa hojaKabla ya kuja Wazungu mababu zetu waliishi hawakufa na walivumbua vitu vingi ikiwemo viwanda
Naamini wasingekuja tungekuwa mbali sana hizo nguruwe zimetuchelewesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni malaya wa hojaKabla ya kuja Wazungu mababu zetu waliishi hawakufa na walivumbua vitu vingi ikiwemo viwanda
Naamini wasingekuja tungekuwa mbali sana hizo nguruwe zimetuchelewesha
Uyu alikuwa mwizi sura yake tu kama Andrew chengeHuyu ndio Dr SebiView attachment 1489567
Mkuu hiyo Mei 28 2026 alikamatwa kwa kutakatisha pesa ni mwaka gani? Huo na wewe unasema alikufa 2016 🤔🤷
Ngozi ndio itamblisho wetu, MTU mweusi nembo alitokea africaDr.Sebi hakuwa mwafrica alikuwa mtu mweusi sio weusi wote wametokea bara la Africa....Dr Sebi alikuwa mzungu ni Honduras...
Huu nao ni uzwazwa, ndani ya hiyo miaka unayosema alifanya kazi zake kwa uhuru? Hakusumbuliwa kwa kesi za ajabu ajabu? Kummaliza mtu lazima atafutiwe angle hasa mtu maarufu. Haondolewi kiholela Kama mbuzi wa mmasaiAmeuliwa wakati ameachwa zaidi ya miaka 25 akitibu na kufanya mihadhara? Kama angekuwa tishio asingeachwa kwa muda wote huo.
Jamaa haelewi unaweza kutafutwa hata miaka 39 ukaja kumalizwa baadaeHuu nao ni uzwazwa, ndani ya hiyo miaka unayosema alifanya kazi zake kwa uhuru? Hakusumbuliwa kwa kesi za ajabu ajabu? Kummaliza mtu lazima atafutiwe angle hasa mtu maarufu. Haondolewi kiholela Kama mbuzi wa mmasai
Kwenye tiba za mitishamba nimekuelewa, na hizo tiba ili zwe tiba, lazima awepo mgonjwa wa kutibiwa
Dr, anafundisha njia za kuepuka kuugua kabisa endapo zikifuatwa, Wakati huohuo anatibu magonjwa!
Halafu njia zake kuzifuata ni ngumu balaa!
Naunga mkono Kwa dawa za tiba Africa Mungu katujalia, ni Nzuri kutumia na hazina madhara na huponyesha kweli, Mzungu hajawahi kutengeneza dawa za kuponyesha zaidi ya kutuliza maumivu na kuzalisha shida nyingine badaye huku akijali zaidi kuvuna pesa
Sijuwi kwanini watu hupenda kukosoa vitu ambavyo wana juwa nikosa la kiuandishi!Hayo ni makosa ya kiuandishi ambayo hayana tija kuyapa mjadala.
Hope mleta uzi ata edit.
Nime acha kabisa kutumia sukari tangu corona ilipo shika Dunia chai yangu ni tangawizi na limao nilicho note ukipiga kila siku kama Mimi mwili lazima upunguwe!!Ngoja Leo nishindie maji tu na malimao...