Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

Tatizo ni kuwa hawa wazungu wamekwisha ziosha akili zetu na kupandikiza za kwao za bandia. Tunao uwezo mkubwa tu wa tiba.
 
Nimesoma mpaka mwisho nikitarajia orodha ya vyakula vyenye Alkali lakini wapi, nimeambulia limao tu.
 
Nimeishia tu hapo aliposema kula Ugali nyama choma ni chanzo pia.....nitaendelea baadaye
 
Dr.Sebi hakuwa mwafrica alikuwa mtu mweusi sio weusi wote wametokea bara la Africa....Dr Sebi alikuwa mzungu ni Honduras...
Watu weus chimbuko ni Afrika, sababu ya utumwa ndo walienea maeneo mengi ya dunia hasa Marekani, Carribean na Latin America.

Unaposema alikuwa mzungu kisa ni raia wa Honduras unakosea!! Jamaa alikuwa mweusi
 
Umejitahidi kutuelezea mengi ngoja na mimi nikuchangie niweke picha ya Dr Sebi
 
Attachments

  • sebi.PNG
    23.1 KB · Views: 10
Watu weus chimbuko ni Afrika, sababu ya utumwa ndo walienea maeneo mengi ya dunia hasa Marekani, Carribean na Latin America.

Unaposema alikuwa mzungu kisa ni raia wa Honduras unakosea!! Jamaa alikuwa mweusi
na tena Honduras sio wazungu
 
WHO watahamia hapa TZ na propaganda za CNN, BBC & ALJAZEERA zitakuwa juu ya kila kitu kuhusu TZ. Haya mambo si mepesi kabisa
 
Hizo dawa alizokuwa anatumia kwanini hao waliomuua wasichukue na kuendelea kuzitumia na kutengeneza pesa ?
 
Hizo dawa alizokuwa anatumia kwanini hao waliomuua wasichukue na kuendelea kuzitumia na kutengeneza pesa ?
Kwa sababu zinatibu kabisa ugonjwa na wao lengo lao sii kutibu bali ni kutuliza kwa muda ili urudi tena kupata tiba ya kutuliza na wao waendelee kula pesa yako
 
Kwa sababu zinatibu kabisa ugonjwa na wao lengo lao sii kutibu bali ni kutuliza kwa muda ili urudi tena kupata tiba ya kutuliza na wao waendelee kula pesa yako
Kwanini wewe / sisi ambao lengo letu sio kama lao tusitumie ? Nadhani swali langu ni hili hakuacha hizo formula zake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…