mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
- #101
Soma sana utatatua mwenyeweNaomba kueleweshwa,
Ni acid ndio tatizo au alikali ndio tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma sana utatatua mwenyeweNaomba kueleweshwa,
Ni acid ndio tatizo au alikali ndio tatizo
Unamsema Tundu Lissu wewe.Waafrica wenyewe hatujiamini. So sad kuna watu wamekuwa brainwashed anawaona Wazungu watu wa maana hadi kuwatetea watuibie raslimali
Wewe ndo umekosea zaidi au hujui kuandika?Kwamb ujagndua kua Apo kakosea uandishi mzeee
Mchaga akizaliwa kigoma anakuwa muha?Dr.Sebi hakuwa mwafrica alikuwa mtu mweusi sio weusi wote wametokea bara la Africa....Dr Sebi alikuwa mzungu ni Honduras...
Lugha gani hii?Yanatutesabyanatufaidibutadikri die manyigu
Watu weus chimbuko ni Afrika, sababu ya utumwa ndo walienea maeneo mengi ya dunia hasa Marekani, Carribean na Latin America.Dr.Sebi hakuwa mwafrica alikuwa mtu mweusi sio weusi wote wametokea bara la Africa....Dr Sebi alikuwa mzungu ni Honduras...
KudadekiiiVyakula vingine vyenye acid ni maharagwe, sukari, miwa, mafuta ya kupikia, mahindi makavu, soda, maziwa, pombe zote, ngano, maji ya viwandani, mayai, mtindi, mlonge.
na tena Honduras sio wazunguWatu weus chimbuko ni Afrika, sababu ya utumwa ndo walienea maeneo mengi ya dunia hasa Marekani, Carribean na Latin America.
Unaposema alikuwa mzungu kisa ni raia wa Honduras unakosea!! Jamaa alikuwa mweusi
WHO watahamia hapa TZ na propaganda za CNN, BBC & ALJAZEERA zitakuwa juu ya kila kitu kuhusu TZ. Haya mambo si mepesi kabisaTena tunashukuru Sana Mh Raisi kwa kutambua swala hili la tiba asilia. Ni maono makubwa sana kwa uhai wa watu na Watanzania kwa ujumla maana tiba hii haina madhara kwa afya za binadamu Bali huujenga mwili na kuwa imara zaidi.
Nashauri kianzishwe kitengo maalumu, kifanye majaribio kwa Magonjwa yanayosumbua Kama vile cancer na kisukari kwa wagonjwa wachache kwa kufuata mwongozo wa Dr sebi. Endapo tiba hiyo itawatibu wagonjwa hao, Basi kitengo hicho kitambuliwe na wizara husika then kitaleta mapato kwa serikali na kusaidia wengi.
Kwa sababu zinatibu kabisa ugonjwa na wao lengo lao sii kutibu bali ni kutuliza kwa muda ili urudi tena kupata tiba ya kutuliza na wao waendelee kula pesa yakoHizo dawa alizokuwa anatumia kwanini hao waliomuua wasichukue na kuendelea kuzitumia na kutengeneza pesa ?
Kwanini wewe / sisi ambao lengo letu sio kama lao tusitumie ? Nadhani swali langu ni hili hakuacha hizo formula zake ?Kwa sababu zinatibu kabisa ugonjwa na wao lengo lao sii kutibu bali ni kutuliza kwa muda ili urudi tena kupata tiba ya kutuliza na wao waendelee kula pesa yako