TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

Ilikuwaje mtu ambaye ni professor,mkewe alikuwa anajifungua kipindi hiki, Umri wa Prof ni miaka mingapi au ni ndoa ya ngapi hiyo!

Wafiwa poleni kwa msiba mkubwa.
 
Hii kitu ya wadada wazuri kujifingua na kupotea,imezidi sana,last week ilimchukua dada mzuri sana Jiji la Tanga,idara ya Sheria.

Ummy Mwalimu, anzisha utafiti kujua tatizo ni nini, vinginevyo tunapoteza visura wetu kila siku.
Huyo dada wa tanga msiba ulinikuta huku nipo lushoto huku mara moja...very sad.
 
Alikua kichwa huyu
 
Huu ujumbe umeniumiza na kunisikitisha sana. Pole bro, kifo ni ukatili mbaya sana kwa kiumbe chochote kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…