TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

Alisoma Kilakala...then UDSM, Eletrical Engineering. Baadae mambo ya utalii. Alikuwa mpole na hakuwa na makuu hata kidogo. Kifo kuna wakati kinatupata maswali magumu kweli kweli, na lazima tyuyajibu with flying colours. Mbele yetu na sisi wengine tuko kwenye foleni

Rest In Eternal Peace Dr. Shogo
 
Nilifanya nae kazi sana, enzi akiwa Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Utalii, NCT
Hapa ni Channel Ten -
View: https://youtu.be/G4VMLLp4eJc?si=K7Y9XcclA0rehICgHapa ni ITV -
View: https://youtu.be/Ya31uC_hd68?si=QOczRo0qUdO8ieeqHapa ni EATV -
View: https://youtu.be/63TGS1pxWVs?si=GAWCHT0JCikU6vbnHapa ni Channel Ten tena -
View: https://youtu.be/GFARCfkHjYE?si=xaD4dhEih0ZcPUE7RIP Dr. Mlozi.
P
P
 
Hao huwa wanawekana tu acha afe may be inaweza ikawa bahati kwa mwingine asiyejulikana.

Yupo mtoto wa mtu mwenye elimu nzuri kumzidi na sifa zote tena na zaidi za kuwa na hiyo nafasi lakini kwa sababu alikuwa hana connection hiyo nafasi akaikosa.
Hakuna afadhali yoyote hapo.
Viongozi wa CCM ni sawa na mazimwi, hiyo nafasi itajazwa na zimwi lingine.

Hao unaowazungumzia wakagombee tu nafasi za uongozi wa mtaa...labda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…