TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

Hii kitu ya wadada wazuri kujifingua na kupotea,imezidi sana,last week ilimchukua dada mzuri sana Jiji la Tanga,idara ya Sheria.

Ummy Mwalimu, anzisha utafiti kujua tatizo ni nini, vinginevyo tunapoteza visura wetu kila siku.

Wanapotea wengi ila wengi wa hao hawapo kwenye nafasi au majukumu ya kuwafanya waandikwe kwenye vyombo vya Habari

Yaani uzazi umekua hatari mnoo
 
Kwahiyo hii familia baba Prof., dada NMB, dada mwingine mbunge, mama nafasi gani uko.
Wajumbe wa elimu haina maana muhimu kipaji waje hapa waone somo.

Marehemu apumzike kwa amani
Acha kuchanganya mambo mkuu, marehemu tayari alikuwa na familia yake yeye mwenyewe marehemu alikuwa na PhD kwenye mambo ya Tourism, MBA na Bachelor Electrical Engineering mume wake ni Professor.
Baba wa marehemu Professor kaka yake ndio anafanya kazi NMB kwenye familia yao walizaliwa 2 tu.
Elimu ina umuhimu wake na vipaji vina umuhimu wake mtu kama christiano ronaldo, mbwana samatta, diamond platnum, Ramadhan Brothers ukiwaambia umuhimu wa elimu versus vipaji walivyobarikiwa na wakaweza kuvitumia vizuri hawawezi kuelewa ukiwaambia kuhusu elimu ya darasani.
Kila kimoja Elimu au kipaji kina umuhimu wake ndugu ila all in all kipaji kinalipa zaidi kama ukikigundua mapema na ukakitumia vizuri mapema.
Elimu ina mlolongo mrefu sana hadi uje ufanikiwe kwenye elimu unless otherwise uwe genius kwenye hiyo field unayosomea.
 
Na majina ya wazazi wao yamewabeba. Ni wangapi wana masters na hizo PhD wako mtaani wanafanya Yao kimya kimya hawaonekani kwenye hizo nafasi??
Tanzania upendeleo una nafasi kubwa sana kuliko kile unchojua
 
Acha kuchanganya mambo mkuu, marehemu tayari alikuwa na familia yake yeye mwenyewe marehemu alikuwa na PhD kwenye mambo ya Tourism, MBA na Bachelor Electrical Engineering mume wake ni Professor.
Baba wa marehemu Professor kaka yake ndio anafanya kazi NMB kwenye familia yao walizaliwa 2 tu.
Elimu ina umuhimu wake na vipaji vina umuhimu wake mtu kama christiano ronaldo, mbwana samatta, diamond platnum, Ramadhan Brothers ukiwaambia umuhimu wa elimu versus vipaji walivyobarikiwa na wakaweza kuvitumia vizuri hawawezi kuelewa ukiwaambia kuhusu elimu ya darasani.
Kila kimoja Elimu au kipaji kina umuhimu wake ndugu ila all in all kipaji kinalipa zaidi kama ukikigundua mapema na ukakitumia vizuri mapema.
Elimu ina mlolongo mrefu sana hadi uje ufanikiwe kwenye elimu unless otherwise uwe genius kwenye hiyo field unayosomea.
Haya maelezo yako hakuna sehemu yameonyesha elimu haina maana.

Ukipata yanayoelezea upuuzi wa elimu ukaungana na ngumbaru wenzako niite.
 
Nilifanya nae kazi sana, enzi akiwa Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Utalii, NCT
Hapa ni Channel Ten -
View: https://youtu.be/G4VMLLp4eJc?si=K7Y9XcclA0rehICg
Hapa ni ITV -
View: https://youtu.be/Ya31uC_hd68?si=QOczRo0qUdO8ieeq
Hapa ni EATV -
View: https://youtu.be/63TGS1pxWVs?si=GAWCHT0JCikU6vbn
Hapa ni Channel Ten tena -
View: https://youtu.be/GFARCfkHjYE?si=xaD4dhEih0ZcPUE7
RIP Dr. Mlozi.
P
P

Alipataje huo ukuu wa Chuo?
.
1. Nafasi ilitangazwa wazi? Kwenye magazetti? Lipi? La lini?

2. Wali-apply wangapi? Shortlisted? Invited for interview? Interview scores? Panelists walikua wakina nani? sifa za kitaaluma na uzoefu katika sekta husika (uongozi/utalii)?

3. Nani alishinda interview? Scores zao?
 
Back
Top Bottom