evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Wapi nimesema Elimu haina maana kwenye maelezo yangu.Haya maelezo yako hakuna sehemu yameonyesha elimu haina maana.
Ukipata yanayoelezea upuuzi wa elimu ukaungana na ngumbaru wenzako niite.
Kila kitu kina umuhimu wake.
Ila kipaji kina lipa zaidi ya elimu ndugu kwa sababu under Ceteris paribus, kila mtu anaweza kusoma kupata elimu ila kila mtu hawezi kuwa na kipaji fulani