TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

Hii kitu ya wadada wazuri kujifingua na kupotea,imezidi sana,last week ilimchukua dada mzuri sana Jiji la Tanga,idara ya Sheria.

Ummy Mwalimu, anzisha utafiti kujua tatizo ni nini, vinginevyo tunapoteza visura wetu kila siku.
Huyo dada na familia yake ni watu wazito inawezekana kabisa alikuwa na Dr wake tena bingwa wa maswala ya uzazi ni hivyo tu Kuna mambo mengine yanatokea naturally unaweza kuta Kuna mwenzake kama yy kajifungulia nyumbn salama salmini bila uangalizi wa Dr yyte na anadunda tu.
 
Huyo dada na familia yake ni watu wazito inawezekana kabisa alikuwa na Dr wake tena bingwa wa maswala ya uzazi ni hivyo tu Kuna mambo mengine yanatokea naturally unaweza Kuna mwenzake kama yy kajifungulia nyumbn salama salmini bila uangalizi wa Dr yyte na anadunda tu.
Huyu alikuwa single mother!
 
Hii kitu ya wadada wazuri kujifingua na kupotea,imezidi sana,last week ilimchukua dada mzuri sana Jiji la Tanga,idara ya Sheria.

Ummy Mwalimu, anzisha utafiti kujua tatizo ni nini, vinginevyo tunapoteza visura wetu kila siku.
Moja ya vifo vinavyohuzunisha sana ni vifo vya uzazi. Haipaswi kabisa mama kufa wakati wa uzazi kwa karne hii. Ila namna kama Tanzania kuna shida ya utaalam kwenye hili eneo na vifaa vya kutosha. Nikiona jinsi rais anavyosafiri na kutumbua na watu kama wasanii halafu kuna kinamama wanakufa kwa issue kama hizi huwa nasikitika sana. Samia anayeonekana ni wale kinamama wasio na empathy hata kidogo. Roho mbaya sana!
 
Rest Easy beautiful daughter
Rest easy Shogo ,ikiwa mama yangu Mamndenyi kauona uzuri wako ,Mimi sikuwa kipofu kusema nikuoe ukasema nibadili tabia then nije ,Ila nilishindwa kubadilika mpaka ukaolewa ,nasikitika kukumbuka mengi ambayo hapa so mahali pake Ila nawiwa kusema umeondoka ukiwa bado mdogo ,Allah akupunguzie adhabu ya kabri .

Mbele yako nyuma yetu Shogo a.k.a Msibeli ,pole kwa akina Fausta na Derina hakika tutakukumbuka kwa mengi 😭😭😭
 
Taarifa ambazo sijazithibitisha ni kwamba alitoka kujifungua watoto mapacha 2 ndio akapata complications zilizopelekea kifo chake
Anaonekana kazidi 40.Bado alikuwa anazaa tu.Kuzaa 40+ kuna risks nyingi mno.Mungu ampumnzishe kwa amani.
 
Kwanza RIP Prof. Pili, wamama maskini wakifa huku vijijini mnawaona kama a statistic tu. Tunapokuwa viongozi tuwe tunasema ukweli na kupambania maisha ya wananchi wetu kumbukeni hata nyie mnaweza kujikuta mikononi mwa madaktari au manesi wasiokuwa na ujuzi wa kutosha au vifaa duni. Anyway Kama Umi anavyosema Mama yenu wa Kimzikazi anaupiga mwingi hadi anakoa maisha ya wakina mama.
 
Alisoma Kilakala...then UDSM, Eletrical Engineering. Baadae mambo ya utalii. Alikuwa mpole na hakuwa na makuu hata kidogo. Kifo kuna wakati kinatupata maswali magumu kweli kweli, na lazima tyuyajibu with flying colours. Mbele yetu na sisi wengine tuko kwenye foleni

Rest In Eternal Peace Dr. Shogo
UDSM aliingia mwaka gani?
 
Back
Top Bottom