RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Sa unataka tufanyeje si sku zake zimefka wacha aendee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye siasa za Kiafrika hakujatokea aliyefanikiwa especially Tanzania!unaotea au unachukiaga watu wote waliofanikiwa?
Yes sababu ya kifo ni kujifungua/uzaziTaarifa ambazo sijazithibitisha ni kwamba alitoka kujifungua watoto mapacha 2 ndio akapata complications zilizopelekea kifo chake
UzaziChanzo Cha kifo?
Asante sana mkuu...😥Poleni sana wanafamilia
Na wewe ulisoma UDSM Engineering ?miaka ya 2000R.i.P Classmate...😥
Ama kweli, udongo unameza vitu vizuri walahi..🙄
Huyo ni "classmate" wa Kila "class" ya "classmate" wa kila tasnia.Na wewe ulisoma UDSM Engineering ?miaka ya 2000
Ndio mkuu, na roho inaniuma sana hapa nabubujikwa na machozi njia nzima..😪Na wewe ulisoma UDSM Engineering ?miaka ya 2000
Dah wapumzike kwa amani...hivi vifo uchungu wake anaujua mume...Hii kitu ya wadada wazuri kujifingua na kupotea,imezidi sana,last week ilimchukua dada mzuri sana Jiji la Tanga,idara ya Sheria.
Ummy Mwalimu, anzisha utafiti kujua tatizo ni nini, vinginevyo tunapoteza visura wetu kila siku.