Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Wanajanvi,
Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.
Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.
Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?
Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.
Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.
Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.
Ndimi mwanao.