Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

Nadhani mtoa mada hujui nini maana ya democracy. Unadhani democracy ni kutukana na kuropoka ropoka hovyo. Vitu Ambavyo Magufuli hakuviruhusu.

Watu wanadhani Magufuli alikua hapendi kukosolewa na SIYO kweli.

Ukweli ni kwamba ujinga na lugha chafu ndizo zilizopelekea SERIKALI ya Magufuli kuzuia mambo hayo.

Uwezi kutukana watu na kutoa hoja chonganishi ukajifichia kwenye koti la democracy kwamba upewe uhuru wa kuongea.

Hata Mbinguni hakuna hicho unachosema democracy maana Mwanadamu bila kuwekewa utaratibu Atachafua kila kitu ndio maana zikatungwa sheria, na hakuna sheria inasema uropoke na kusema uongo kwa maslai ya kuikwamisha SERIKALI.
 
Back
Top Bottom