Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

Huyu slaa ni mfarisayo, akasaliti utumishi madhabauni akaenda kuoa, akamsaliti mke wake wa ndoa na kwenda kuoa mwanamke mwingine Josephine mshumbusi, akasaliti ukawa baada yeye kutokuwa mgombea, anabeza raia wananchi walioteswa bila hatia na magu
huyu mzee anamalizika vibaya
 
Wanajanvi,

Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.

Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.

Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?

Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.

Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.

Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.

Ndimi mwanao.
Nawee nenda kanye huko.. (in steve nyererz voice)
 
Sandarusi alikuwamzee wa sandarusi
Screenshot_20220325-232043.jpg
 
Naona anataka kuwa upande wa Sukuma gang hivi KWA kumponda Mama kiaina,au ndo kiki ya Kutafuta uteuzi
 
Wanajanvi,

Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.

Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.

Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?

Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.

Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.

Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.

Ndimi mwanao.
Huyu aliharibikiwa tangu pale CDM walipomweka Lowassa badala yake kugombea urais
 
Hamuwezi kufanana mitazamo.

Huwezi kulazimisha fikra za mtu zifanane na zako.
Yaan Kuna watu wanaoandika hapa JF ,Kama wao ndio wako sawa.Mleta thread kwa taarifa yako Dr Slaa yupo vizuri Sana kuliko Wana CDM na Wana CCM wote.Huyo ni mashine nyingine kabisa.Achana nayo.
 
Eti anasema demokrasia ni kuwaachia machinga kufanya biashara popote! damn what a pathetic mindset na kuishi kote nje bado anasupport ushamba wa watu kutokuwa na mpangilio mtu anapanga bidhaa hapo centimeter chache tyre ya gari inapita!
Kwani wameacha kupanga?
Pita gerezani muda huu.
Kilichofanyika ni mihemko tu,
Na viongozi kukosa utu, kwao maisha ya watu sio kitu zaidi ya kuwaumiza watu, maana watu wamepoteza muelekeo na waachia madeni yasiolipika na kuongeza watu wenye sonona
 
Wanajanvi,

Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.

Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.

Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?

Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.

Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.

Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.

Ndimi mwanao.
Mzee SLAA anataka tena UBALOZI
 
Back
Top Bottom