huyu mzee anamalizika vibayaHuyu slaa ni mfarisayo, akasaliti utumishi madhabauni akaenda kuoa, akamsaliti mke wake wa ndoa na kwenda kuoa mwanamke mwingine Josephine mshumbusi, akasaliti ukawa baada yeye kutokuwa mgombea, anabeza raia wananchi walioteswa bila hatia na magu
Wewe kinakuuma nini?Wanachadema: Mbowe akiachia uenyekiti chama kitakufa!
My take: Mbowe ni chadema na chadema ni Mbowe! Siku Mbowe akifa chadema nayo kwaheri.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Baada ya kukimbiwa na "mke" wake Slaa amuige Mrema aowe msichana mdogo na arudi Karatu
He is not relevant any more
Mzer huyu mi namheshima ila ana usaliti mwingihuyu mzee anamalizika vibaya
Mlimfunga mkadhani kinakufa🤣🤣🤣Wanachadema: Mbowe akiachia uenyekiti chama kitakufa!
My take: Mbowe ni chadema na chadema ni Mbowe! Siku Mbowe akifa chadema nayo kwaheri.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sio kusema na kutenda lolote.Kwani Demokrasia ni nini?
Nawee nenda kanye huko.. (in steve nyererz voice)Wanajanvi,
Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.
Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.
Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?
Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.
Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.
Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.
Ndimi mwanao.
Ana msongo wa mawazo.Chadema hayupo na ccm hayupoDr kasaulika ccm impe uteuzi
Wewe ndo muongo na mzandiki
Alimtegemea mwanadamuAna msongo wa mawazo.Chadema hayupo na ccm hayupo
Huyu aliharibikiwa tangu pale CDM walipomweka Lowassa badala yake kugombea uraisWanajanvi,
Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.
Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.
Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?
Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.
Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.
Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.
Ndimi mwanao.
Yaan Kuna watu wanaoandika hapa JF ,Kama wao ndio wako sawa.Mleta thread kwa taarifa yako Dr Slaa yupo vizuri Sana kuliko Wana CDM na Wana CCM wote.Huyo ni mashine nyingine kabisa.Achana nayo.Hamuwezi kufanana mitazamo.
Huwezi kulazimisha fikra za mtu zifanane na zako.
Kwani wameacha kupanga?Eti anasema demokrasia ni kuwaachia machinga kufanya biashara popote! damn what a pathetic mindset na kuishi kote nje bado anasupport ushamba wa watu kutokuwa na mpangilio mtu anapanga bidhaa hapo centimeter chache tyre ya gari inapita!
Ni kuua, na kuteka watu. Pia mtu kuandika chochoteKwani Demokrasia ni nini?
Mzee SLAA anataka tena UBALOZIWanajanvi,
Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.
Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.
Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?
Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta mtoto wa kiongozi ndiyo anasafirisha madawa husika bila shaka alimaanisha yule mtoto! Slaa wa wakati ule angeshamtaja hugo mtoto.
Pia alisema asingekubali watoto waliopata ujauzito warudi shule.
Wito Mzee Slaa kula mafao yako taratibu acha kujifedhehesha.
Ndimi mwanao.
Umri huo na Ujuaji wako wa kila kitu hujui Demokrasia ni nini?Kwani Demokrasia ni nini?