Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

Huyu Dr. Slaa ana matatizo. Aidha amenyimwa asali au anahisi kuwekwa kando na utawala wa mama.

Enzi za Mwendazake alikuwa akiongea mambo ya ajabu sana hadi unajiuliza kama ndiye yule Dr Slaa aliyekuwa akipambania utawala wa sheria na katiba moya
 
Huyu mzee alitakiwa awe kajifunika blanketi usiku na mchana kimya kabisa
 
Maadili ya uchaguzi ni yapi, kuiba Kura?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…