kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mzee alijiharibia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unataka tu kuchochea moto.Chadema kabisa ndiyo waseme yaliyopita si ndwele? Naona wewe unawasikia tu kwenye mitandao!
Nawajua chadema a - z. Ebu jaribu basi kuwashawishi waseme yaliyopita si ndwele uone kama utawaweza.Wewe unataka tu kuchochea moto.
Mbona hata wewe ni CCMHawa wote ni CCM hizi ni drama tu
Wilbroad Slaa ni mwasisi wa siasa chafu Tanzania alihamasisha UKAWA na baada ya hapo alikuwa anatamani yeye ndiye awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku ndani ya huo huo UKAWA kulikuwa mtu mwingine mashuhuri Ibrahim Lipumba ambaye naye kwa namna yoyote ile hakutaka mtu mwingine agombee Urais.Baada ya Mwenyekiti wa UKAWA kulitambua hilo waliweka kikao na kumtambulisha Lowasa kama mgombea halali wa Urais ndani ya UKAWA na wote akiwemo Slaa na Lipumba walibariki.Lakini baada ya hayo kwa kuwa ni Mungu walimhukumu Lowassa moja kwa moja na wakajitoa kwenye UKAWA na kujiunga na Chato mla watu.Lowassa ndo aliwavunja moyo vijana Kwa kuwahakikishia kuwa hatoibiwa kura sababu ye ndo alikuwa engineer wa wizi,
Walipotangaza mshindi mwingine, hakutokea.
Slaa asisingiziwe.
Lowassa na Slaa nani msaliti?Wilbroad Slaa ni mwasisi wa siasa chafu Tanzania alihamasisha UKAWA na baada ya hapo alikuwa anatamani yeye ndiye awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku ndani ya huo huo UKAWA kulikuwa mtu mwingine mashuhuri Ibrahim Lipumba ambaye naye kwa namna yoyote ile hakutaka mtu mwingine agombee Urais.Baada ya Mwenyekiti wa UKAWA kulitambua hilo waliweka kikao na kumtambulisha Lowasa kama mgombea halali wa Urais ndani ya UKAWA na wote akiwemo Slaa na Lipumba walibariki.Lakini baada ya hayo kwa kuwa ni Mungu walimhukumu Lowassa moja kwa moja na wakajitoa kwenye UKAWA na kujiunga na Chato mla watu.
Wilbroad Slaa 100%Lowassa na Slaa nani msaliti?
Mngekuwa mbali kwa kusogezwa na lowasa? Akili zingine hizi!kwi kwi kwi ! wakiweza wamfunge kabisa huyu, kama sio yeye na Lipumba leo hii tungekua mbali sana kidemokrasia, matokeo yake sasa tunaanza tena upya!