Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Ukiteuliwa na Rais kuwa Balozi kwa wanaojua vyema Protocol hapo tayari automatically umeshakula Kiapo cha Siri kama cha Watu wa Idara Nyeti ( TISS ) na ndiyo maana 95% ya Mabalozi ndani na hata nje ya Tanzania huwa ni wa kutoka Usalama wa Taifa.

Kitendo cha Wewe kuteuliwa na Rais kuwa Balozi ( Mwakilishi wake ) kwa nchi atakayokupangia au kuwa Msaidizi wake Maalum kisha ukaamua Kupishana nae, Kumdharau, Kumdhoofisha Kisera na Kumtishia wakati unajua ulikula Kiapo hapo ni sawa na Kukigeuka Kiapo chako.

Hivyo wakiamua Kukukamata na Kukufungulia Kesi Kubwa au hata Kukuua kabisa huwa wanakuwa sahihi kwakuwa wakikuachia Huru na kuanza Kujitawala huku Ukibwabwaja Mitandaoni, Redioni na Runingani wanakuwa / watakuwa sahihi.
 
Kuna sala hii ambayo ni ya mambi maalumu. Miaka michache iliyopita sala hii ilitumika na waombaji. Sijui kama maombi yalijibiwa ama laa. ZABURI 109:8 "Siku zake na ziwe chache, usimamizi wake na atwae mtu mwingine..."
 
N

A

Lilikuwa ni suala la muda tu,😀😀maana alifanya interviews kibao na alikuwa anapinga live na kuwachana live ,ila waarabu sio poa kwa wanayowafanyia mabeki 3 kule Saudi,wakija TP tutegemee watu kuzamishwa baharini
Hata kuingiliwa kinyume... wale watakaofanya makosa bandarini.
 
Ubinafishaji Kwa nguvu! Mh. Rais Kwa Nini asingesikiliza mawazo ya wanaopinga halafu wakaboresha mapungufu. Kwa Tanzania si ni ya watanzania ikiwemo yeye? Kuna ulazima was kuaza kukamata watu kisa kupi ga hoja ya selikari?

Yani [emoji21]
 
Kwani kweli serikali haitaki kujibu hoja zile na align na wananchi wake kisa muarabu apewe anachotaka ??
 
kwani hii nchi ilkuwa ni ya nyerere kumbe?
Ndio na ndio maana alikuwa na uchungu nayo!
Miaka yote ya utawala wake hakuwa na nyumba nje ya nchi, huyu mama miaka miwili tu amekwisha nunua nyumba Dubai! Huo kama sio wizi ni kitu gani?
Mtoto wake kwa kumtumia mama yake amekuwa dalali wa walanguzi!
 
Ukiteuliwa na Rais kuwa Balozi kwa wanaojua vyema Protocol hapo tayari automatically umeshakula Kiapo cha Siri kama cha Watu wa Idara Nyeti ( TISS ) na ndiyo maana 95% ya Mabalozi ndani na hata nje ya Tanzania huwa ni wa kutoka Usalama wa Taifa.

Kitendo cha Wewe kuteuliwa na Rais kuwa Balozi ( Mwakilishi wake ) kwa nchi atakayokupangia au kuwa Msaidizi wake Maalum kisha ukaamua Kupishana nae, Kumdharau, Kumdhoofisha Kisera na Kumtishia wakati unajua ulikula Kiapo hapo ni sawa na Kukigeuka Kiapo chako.

Hivyo wakiamua Kukukamata na Kukufungulia Kesi Kubwa au hata Kukuua kabisa huwa wanakuwa sahihi kwakuwa wakikuachia Huru na kuanza Kujitawala huku Ukibwabwaja Mitandaoni, Redioni na Runingani wanakuwa / watakuwa sahihi.
Kumbe!?
 
Kuna sala hii ambayo ni ya mambi maalumu. Miaka michache iliyopita sala hii ilitumika na waombaji. Sijui kama maombi yalijibiwa ama laa. ZABURI 109:8 "Siku zake na ziwe chache, usimamizi wake na atwae mtu mwingine..."
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🔨
 
Kama ni kweli! Bas NADHARIA mbili;-

1.mfumo unataka kumchafua Mama kwa malengo yake wanayoyajua,YAANI wananchi wakishakuchukia kama kiongozi ni rahisi mfumo kukuambia umepoteza mvuto wa kiongozi!!
2.Chawa wa mama ndani ya mfumo wanataka kuondoa wenye kelele kuhusu Bandari wakidhani wanasaidia kumbe NDIO KWANZA wanaharibu MAMBO!!

Dr slaa bado ni mtumishi mwaminifu wa kanisa,sasa kanisa litakubali mtu wake atekwe!!!?

Tusubiri!
 
Ndio na ndio maana alikuwa na uchungu nayo!
Miaka yote ya utawala wake hakuwa na nyumba nje ya nchi, huyu mama miaka miwili tu amekwisha numua nyumba Dubai! Huo kama sio wizi ni kitu gani?
Mtoto wake kwa kumtumia mama yake amekuwa dalali wa walanguzi!
Wewe vipi huyo nyerere sii ndio alietengeneza hii katiba wanayoitumia hao watawala au wewe hujui kama hii katika inayotumika ni tangu enzi za nyerere

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Katiba ile ilitengenezwa kwa kuamini Rais ataheshimu KIAPO cha util anachoapa kwa Katiba na nchi na sio Rais mwizi na anayeigeuza IKUKU PANGO LA MAFISADI!
 
Sasa kama hakuheshimu hicho kiapo mtafanyaje na hiyo katiba inampa kinga asishitakiwe? Tena hiyo katiba ni tangu enzi ya nyerere
 
Back
Top Bottom