Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Binuka nikubamize.Mbamizwaji kamwe hawezi kubamiza jomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binuka nikubamize.Mbamizwaji kamwe hawezi kubamiza jomba
Ahahha mim nataman wanyooshwe kisawa sawaWajuwa kama Mwalimu Nyerere angewachekea wanaotaka kuvuruga amani,Tanzania ingekuwa zaidi ya somalia.Kina bibi Titi,kina Fundikira,kina Kambona walikiona cha Moto.
AMuda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Lilikuwa ni suala la muda tu,😀😀maana alifanya interviews kibao na alikuwa anapinga live na kuwachana live ,ila waarabu sio poa kwa wanayowafanyia mabeki 3 kule Saudi,wakija TP tutegemee watu kuzamishwa bahariniMuda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Uhaini kwa kufanya nini?
Sasa kama ni makubaliano kwanini wasiwaeleshe watu, kuliko yote haya?Wenzio wanasema ule sio mkataba ni makubaliano tu...hahahahahaha....
Sii zama hizi tena.. taarifa zipo kiganjani .... Watanzania wa miaka ile sii hawa wa sasa ...Nenda Polisi kaulize.Kama na wewe hukikiona cha moto.Mwalimu Nyerere ilikuwa hawachekei,wanaotaka kuvuruga amani.
We matak kweli,Unazijua chuki za kishamba au unatanguliza ushoga mbele,hii nchi siyo yenu kwamba mtaamua kuiza na mkakaliwa kimya,jibuni maswali ya watanganyika upumbavu wa kukamata na kuteka watu haujawahi kuzuia watu kuongea.Na bado mtakamatwa sana ile style ya magufuli ndio kiboko yenu nyie hamuwezi kutuchelewesha wajinga wachache kwa chuki zenu za kishamba.
Umesahau nchi imefunguliwa!vipi, bado MAMA ANAUPIGA MWINGI au
Imemsikia na imemfikia.Serikali sikivu imemfikia.....hongera zake
Wanaeleweshwa lakini wanajifanya hawaelewi🤣🤣Sasa kama ni makubaliano kwanini wasiwaeleshe watu, kuliko yote haya?
Mbaya haipendeziHakuna demokrasia wala uhuru wa kubwatuka mimatusi na kudhalilisha watu wengine .ni lazima sasa watu hawa waanze kukamatwa na kuswekwa ndani haraka sana
Utaelewaje kitu ambacho hakieleweki?Wanaeleweshwa lakini wanajifanya hawaelewi🤣🤣
kwani hii nchi ilkuwa ni ya nyerere kumbe?Samia amegeuza Ikulu pango la majambazi!!
Abdul mwanae ndio kinara wa majambazi hao wanaotumia ofisi ya Rais kama madalali!!
Ukienda Magogoni Ikulu utakuta makontena yamepangwa.
I wish Nyerere was ALIVE asingevumilia ujinga wa huyu mwanamke unaoendelea hapa nchini.
Shauri yako.Utaelewaje kitu ambacho hakieleweki?
Hoja kwa hoja, huna hoja funga makalio hayo...Hakuna cha kujibiwa kama hutaki hamia Burundi
Kutamka hawaogopi chochote ndio kosa la uhaini kwa sheria ipi?Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
View attachment 2716213
Hatujakuona wewe wala huyo askofu wako kusema kwii na wengine humu mlifurahia hasa kukamatwa kwaoKwani hawakupaza sauti au kipindi hicho ulikua bado uswekenii