Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Isije ikawa wabaya wake wametumia upepo coz mpaka sasa hivi jeshi la polisi bado halijatoa taarifa rasmi kuhusu tukio hilo
 
Katiba mpya itasema kutakuwa na

1. Citizens Security Guards

2. Government Protection Police
 
Nakataa siyo swala la watu weusi Bali makondoo ya Tanganyika tu, hata hapo Zanzibar hawapo hivi.

Wakenya nadhani mziki wao unaouona, ni kuwakosea heshima kuwafananisha wakenya na makondoo ya Tanganyika yaliyopumbazwa na ushirikina wa Mwenge.
Kabisa mkuu.

Wa tz wana Laana.
 
Siku zote njaa ni mbaya sana.
Sometimes, unaambiwa kutekeleza maagizo ambayo hata wewe mwenyewe hukubaliani nayo, ila kwa sababu Bosi kasema, unakuwa huna jinsi.
Yule waziri anaweza kuongoza kwao tu hapa kachemsha
 
Zama za Giza zinarudi Kwa Kasi ya ajabu.
Samia amegeuza Ikulu pango la majambazi!!
Abdul mwanae ndio kinara wa majambazi hao wanaotumia ofisi ya Rais kama madalali!!
Ukienda Magogoni Ikulu utakuta makontena yamepangwa.
I wish Nyerere was ALIVE asingevumilia ujinga wa huyu mwanamke unaoendelea hapa nchini.
 
Nguvu nyingi zozote mahara popote duniani hazija wahi kuwa suluhisho la migogoro. Bali hekima na busara pekee, ndizo zimeendelea kuwa rejea ya waungwana na wa Wafalme walopita mfano Mfalme Suleiman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom