exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
Whistle blowerz mna mbwembwe[emoji23]Hakika, hawa wachumia matumbo wamejikinai kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whistle blowerz mna mbwembwe[emoji23]Hakika, hawa wachumia matumbo wamejikinai kabisa.
Mafuriko hayazuiliwi kwa mikono...kama sio leo basi keshosisi ni watanzania, we na hao mazuzu wenzio ndio watanganyika, nchi ya kufikirika. Nyie ndio mmepumbazwa na hao wanaowatumia. Hii ni Tanzania hatuna la kujifunza kutoka Kenya, sifa yetu ni kubwa sana kuliko hao wakenya, hatutaki siasa za hovyo km za hao unaowahusudu, kahamie huko inawezekana we siyo raia wa nchi yetu, usituletee ushenzi wenu huo
Whistle blower mkijaribu hata kujambatu kwajili yahili jambo mimi nipo tayali kushinda independent keep left uchi wamnyama nitasimama upanda wasoko lamajengo DomWatawala wanachokitafuta watakipata
neno lakinafiki sana hiliMtanikumbuka [emoji1][emoji1][emoji91][emoji3][emoji91]
hebu nyoosha maelezo usizunguke sema sisi ninyumbu kamili usipulizie nya perfumeWatanzania Mungu aturehemu ila hatuna tofauti na mnyama aina ya Nyumbu,
Porini nyumbu huonewa hadi na fisi tena fisi wanaweza kuwa watano na nyumbu wako 100 akavamiwa mwenzao mmoja lkn hawa 99 badala waungane kuwachangia wale fisi 5 wao hubaki kuangalia tu.
Daaaah inauma na kukera sana.......
Ashikishwe adabu safi sanaMuda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Soon lissu anatoroka amekuwa hapendi kashikashi tena anapenda siasa zamajukwaa
Thubutu!Aisee,Hapa ndo itapimwa IQ ya Watanzania juu ya rasilimali zao
Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.
---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...
Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.
View attachment 2716202
Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X
BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!
Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2716213
Wewe mama samahani lakni,wewe ni mnafiki..Kondoo kapata mchungaji.
Wewe ndio alikunyan'ganya mke?aisee poleee hukua mwanaume strongvizuri sana watambue nchi hii ina utawala halali. Babu mzima amejaa ubaguzi, chuki, uzushi, upotoshaji. Historia ya huyu babu yenyewe ni mbovu, ni katili, aliacha upadre akaoe, baadaye tena akaitelekeza familia na kwenda kuoa mke wa mtu. Ni mchafu, akapumzishwe gerezani asiendelee na uchochezi na uposhaji wake wa kipuuzi
Mnaogopa msipokonywe kibuyu cha asali lakini ipo siku yenu yaja,ndugu yenu wa Niger analishwa mchele mbichi huko,hivi mnafikiri mpo salama sana nin?,hata huko ndani ya haya majeshi mnayoyategemea kuna ambao hawafurahishwi na kinachoendelea...Safi sana ,acha Waendelee kukamatwa kwa kadri iwezekanavyo ,hawawezi wakaendelea kutoa malugha ya uchochezi na ubaguzi halafu wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua. Zoa wote tupia ndani kwa mahojiano ya kina ili waeleze ni demokrasia ya wapi hiyo ya kuwatukana , kuwadhalilisha na kuwavunjia heshima wengine. Hawawezi wakaachwa wachochee machafuko hapa nchini
Tatizo ni ukristo vs uislamuKwanini serikali isisikilize maoni ya wananchi kuliko kutumia nguvu.
Umeshavimbiwa na asalikuna nyakati inasikiliza maoni kama kipindi hiki?
Ukiratibu hujuma utashughukikiwa bila ya kujali hadhi yako kwny Jamii
Kwani hawakupaza sauti au kipindi hicho ulikua bado uswekeniiWalipokamatwa Uamsho wakasekwa miaka 9 ,jela , wengi wenu mlifurahia , lakini kumbe mlisahau miti ukimaliza , Kims atawarukia nyinyi, Wakati umefika ,labda Sasa mtaelewa
Ulitaka itumie mkono wa karatasi? IGP kawaambia wakome wao bado wanajifanya wajanja.🤣Serikali inatumia mkono wa Chuma kutawala wananchi wake[emoji848]
Hivi mkuu una watoto kweli?,kesho na keshokutwa watakuja kuona utumbo [emoji706] wa baba yaoTena huyo askofu mchochezi inatakiwa akamatwe hata leo leo maana analeta uchochezi kwa kujificha kwenye uaskofu .Hatuna askofu wa aina yake anayeacha kusimamia maadili na kuanza kupotosha watu na kuleta uchochezi.
Hata wafanye nini, hoja zijibiwe...Hata wafanye nini, hoja zijibiwe...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?