Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

sisi ni watanzania, we na hao mazuzu wenzio ndio watanganyika, nchi ya kufikirika. Nyie ndio mmepumbazwa na hao wanaowatumia. Hii ni Tanzania hatuna la kujifunza kutoka Kenya, sifa yetu ni kubwa sana kuliko hao wakenya, hatutaki siasa za hovyo km za hao unaowahusudu, kahamie huko inawezekana we siyo raia wa nchi yetu, usituletee ushenzi wenu huo
Siasa za ovyo au nyie mshazoea kuwaburuza watu

Ova
 
Safi sana ,acha Waendelee kukamatwa kwa kadri iwezekanavyo ,hawawezi wakaendelea kutoa malugha ya uchochezi na ubaguzi halafu wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua. Zoa wote tupia ndani kwa mahojiano ya kina ili waeleze ni demokrasia ya wapi hiyo ya kuwatukana , kuwadhalilisha na kuwavunjia heshima wengine. Hawawezi wakaachwa wachochee machafuko hapa nchini
Cha ajabu machawa wote ndio mnaounga mkono huu usheitwani.
 
Atakamatwa na atatupwa ndani na kazi zitaendelea,usilete mikwala yako ya mbuzi hapa .hakuna anayeogopwa wala anayeweza kushindana na serikali yetu hapa nchini. Sisi ndio wenye nchi na ndio tunasema kuwa kamata tupa ndani huko maana watanzania hatutaki mtu anayechochea machafuko na vurugu nchini
Unavyozungumzia wingi kama vile kuna uungwaji mkono. Uko mwenyewe na machawa wenzio kutetea udhalimu na ushenzi unaofanywa na serikali dhidi ya raia.
 
Unavyozungumzia wingi kama vile kuna uungwaji mkono. Uko mwenyewe na machawa wenzio kutetea udhalimu na ushenzi unaofanywa na serikali dhidi ya raia.
Wanaotetea huu ujinga hawajui kuwa nao ni watuhumiwa tarajiwa?
 
Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.

---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...

Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.

View attachment 2716202


Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X

BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!

Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula


View attachment 2716213
Bongo bhana........
 
Dr. Slaa aache kupigania watu ambao hawajielewi.Akae chini ale maisha na mkewe..tumepata serikali tunayostahili,sisi ni wajinga na always tutapata viongozi wajinga kwasababu watatoka kwenye kundi letu hili hili
 
Back
Top Bottom