Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Nchi imefika tulipopataka
Watanzania Mungu aturehemu ila hatuna tofauti na mnyama aina ya Nyumbu,
Porini nyumbu huonewa hadi na fisi tena fisi wanaweza kuwa watano na nyumbu wako 100 akavamiwa mwenzao mmoja lkn hawa 99 badala waungane kuwachangia wale fisi 5 wao hubaki kuangalia tu.
Daaaah inauma na kukera sana.......
 
Kondoo kapata mchungaji.
 
Il
Ila chama changu ccm kinatia aibu
sana, tushindane kwa hoja na sio hii kamatakamata
 
Ubinafishaji Kwa nguvu! Mh. Rais Kwa Nini asingesikiliza mawazo ya wanaopinga halafu wakaboresha mapungufu. Kwa Tanzania si ni ya watanzania ikiwemo yeye? Kuna ulazima was kuaza kukamata watu kisa kupi ga hoja ya selikari?
Samia ni muovu kuliko hata shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…