Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Umesahau kuweka namba yako
 
Huu ni zaidi ya ujinga unaofanywa na awamu hii ya sita

Jibuni hoja mmeshindwa mmeamua kutosha watu

Nchi ya hovyo hii😏
 
Huu ni zaidi ya ujinga unaofanywa na awamu hii ya sita

Jibuni hoja mmeshindwa mmeamua kutosha watu

Nchi ya hovyo hii😏
Hakuna serikali ya kijinga inayoweza kupoteza muda wake kuwajibu wajinga wachache wanaotumia uhuru vibaya katika kuchochea vurugu Dawa yao ni kuzomewa tu na kutupwa ndani
 
Malipo ya kupigania haki za watu weusi ni kifo.

Hutaungwa mkono, uta achwa peke yako ufe.

Waafrika na watanzania sio watu wa kuwapigania ni kuwaacha na shida zao.

Ukikuta mtu mweusi na nyoka wanapigwa muokoe nyoka.
Mbona Nyerere,Nkrumah n.k waliweza kutupigania,na wakafanikiwa,ambapo sasa mnawarudisha wakoloni kwa kasi sana?
 
Wakoloni walileta shanga na suti na kanzu kwa machifu nao wakafungua njia kwa mwarabu akamate wanyamwezi apeleke utumwani. Nilikuwa nawakumbusha historia Tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…