Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Safi sana ,acha Waendelee kukamatwa kwa kadri iwezekanavyo ,hawawezi wakaendelea kutoa malugha ya uchochezi na ubaguzi halafu wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua. Zoa wote tupia ndani kwa mahojiano ya kina ili waeleze ni demokrasia ya wapi hiyo ya kuwatukana , kuwadhalilisha na kuwavunjia heshima wengine. Hawawezi wakaachwa wachochee machafuko hapa nchini
Embu toa mfano wa hizo ligha za matusi na uchochezi zilizotumika, embu ifike mahali watanganyika mjitambue sasa na kutoka kwenye fikra mgando na mawazo ya kishetani, kama serekali inakosea inamaana haipaswi kuelezwa acheni ujinga
 
Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.

---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...

Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.

View attachment 2716202

Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X

BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!

Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 2716213
Ondoa neno ''anadaiwa'' Pili soma thread za mwanzoni kabla hujaposti thread mpya! Hii habari iko saa nyingi.
 
Maslahi gani mnayotaka??? Mlimpinga Dkt Magufuli, tena mnyamaze kabisa
Kabla hujawa chawa ulikuwa unaishije.., vijana wengi wa kijani wana akili ndogo sana. Maana wao huamin kila anachosema bwana mkubwa kipo sahihi., tumieni akili zenu japo kwa 80% na si kama mtumiavyo sas only 20%.
 
Hata wewe utadakwa tu na tumikwala twako twa mbuzi huyo.hakuna atakayebakia mitaani ikiwa ataendelea kuhamasisha vurugu hapa nchini ,wote ni lazima wazolewe kwa nguvu ili watii sheria zetu na siyo kufanya nchi kama klabu cha pombe cha kila mtu kuzungumza na kuropoka atakacho
Ebu kajifunze kuandika kwanza na ujibu hoja we form four leaver
 
Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.

---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...

Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.

View attachment 2716202

Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X

BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!

Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 2716213
Aisee, sasa itakuwaje? WAPINZANI acheni nchi ifanye maendeleo , nyie kila siku mnaendelea na mikutano isiyo na tija maana huu ni wakati wa kujenga nchi na siyo kutugawa, nakushaurini wapinzani , tujenge nchi yetu TANZANIA.
 
Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.

---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...

Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.

View attachment 2716202

Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X

BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!

Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 2716213
That's arlet for Robert Amsterdam client
 
Back
Top Bottom