Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi.

---
Kupitia mtandao wa X, Martin Maranja anahabarisha kuwa Dkt. Slaa amekamatwa...

Nimepata taarifa muda huu kwamba Dr. Wilbroad Peter Slaa amekamatwa na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake Mbweni, Kawe, Dar es Salaam. Dr. Peter Slaa ni mmoja kati ya wakosoaji wa mkataba wa uuzwaji bandari kwa waarabu wa Dubai, DP WORLD.

View attachment 2716202

Pia Askofu Mwamakula amethibitisha taarifa hivyo kupitia mtandao wa X

BALOZI DKT. SLAA AKAMATWA NA POLISI!

Ndugu Watanzania!
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Balozi Dkt. Willibrod Slaa amekamtwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake muda huu.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 2716213
Watakamata wangap?? We are tired of black colonialists. Muda utaongea
 
Nakataa siyo swala la watu weusi Bali makondoo ya Tanganyika tu, hata hapo Zanzibar hawapo hivi.

Wakenya nadhani mziki wao unaouona, ni kuwakosea heshima kuwafananisha wakenya na makondoo ya Tanganyika yaliyopumbazwa na ushirikina wa Mwenge.
sisi ni watanzania, we na hao mazuzu wenzio ndio watanganyika, nchi ya kufikirika. Nyie ndio mmepumbazwa na hao wanaowatumia. Hii ni Tanzania hatuna la kujifunza kutoka Kenya, sifa yetu ni kubwa sana kuliko hao wakenya, hatutaki siasa za hovyo km za hao unaowahusudu, kahamie huko inawezekana we siyo raia wa nchi yetu, usituletee ushenzi wenu huo
 
Safi sana ,acha Waendelee kukamatwa kwa kadri iwezekanavyo ,hawawezi wakaendelea kutoa malugha ya uchochezi na ubaguzi halafu wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua. Zoa wote tupia ndani kwa mahojiano ya kina ili waeleze ni demokrasia ya wapi hiyo ya kuwatukana , kuwadhalilisha na kuwavunjia heshima wengine. Hawawezi wakaachwa wachochee machafuko hapa nchini
 
Dr Slaa kanyakuliwa kama kuku,pata Picha mwananchi wa kawaida asie na status yoyote zaidi amekutwa na kosa lolote lile.

Unahisi kwa polisi hawa,vitendo hivi kuna nn kinaendelea?

Nimeshasema Once nikapata Chenchi zangu Mpaka unifikie unikamate labda unibahatishe Huko duniani ila sio unifate kwangu maana utatolewa ubongo.

siwapendi Polisi wa TZ
 
Ungeweka na hayo matusi ingependenza ili twende sawa.
 
Dr Slaa kanyakuliwa kama kuku,pata Picha mwananchi wa kawaida asie na status yoyote zaidi amekutwa na kosa lolote lile.

Unahisi kwa polisi hawa,vitendo hivi kuna nn kinaendelea?

Nimeshasema Once nikapata Chenchi zangu Mpaka unifikie unikamate labda unibahatishe Huko duniani ila sio unifate kwangu maana utatolewa ubongo.

siwapendi Polisi wa TZ
Acha kujijaza ujinga wako hapa huku umejificha kwenye fake id
 
Back
Top Bottom