Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

You are in denial!! You have been brain washed; yaani huoni kuwa kuna mfumuko wa bei mpaka unauliza!! Wasagaji wa unga hawasagi tena kwasabau unga haununuliwi!!! Unajua kwanini unga haununuliwi?
Hata nikikuwekea takwimu hapa hutaelewa kwasababu hujui correlation ya bei ya mafuta kupanda na bei ya staples!!! Kwa akili yako utakataa kuwa mafuta hayajapanda bei!!
 
Ni mmoja wa watu wapuuzi sana huyo Mbabu...
 
Nonsense
 
Mwaka 2015 uliyasema haya kumhusu Dr Slaa??

Acha kukashifu watu.
Haponhaiuna kadhfa, ni sifa zake hizo.

Jiulize, kwanini binaadam mmoja huyo huyo atemwe sehemu zote anazopitia?

Tena hatujataja ccbrt na ile hospitali ya moyo aliyochangish a watu pesa, mpaka Kikwete akampigia sana debe, kwanini kote huko walimpiga chini?

Huwa sikisii.
 
Wewe weka tu hizo Takwimu zako hapa na siyo kujificha kichakani kwa hoja nyepesi.
 
Unapoteza muda wako kupotosha watu ww ndio unaaminika? Haya tuambie umewafanyia nini watanzania wenzio cha maana acheni unafki bhana.
 
Well said
 
Kama Mungu yuko upande nyie ni nani hata mkimkataa?
 
Huyo mzee wenu anyang'anywe na u Dokta hana hadhi ya kuitwa dokta dokta gani huyo alisaliti kanisa akaoa
 
aanzishe chama chake, hivi kwanini watu hawaanzishi vyama? na akifanya hivyo kwa mkono wa TEC atasomba rundo la wafuasi wa chadema na ccm. hivi kuna ugumu sana kuanzisha chama cha siasa kipya?
 
Mtu anaweza kutengwa na watu au jamii kwasabab mbili tu:
•amesimamia ukweli
•amesimama upande wa uongo/udanganyifu/ukandamizaji

*KWA TANZANIA mtu hutengwa na kupuuzwa aghalabu
-anaposimamia la kwanza!Watanzania wengi tunapenda majungu,husuda,ujinga...ni nadra sana watanzania kupenda vitu vya maana kama Elimu(thats why ni ngumu kupata maktaba,maduka ya vitabu kwenye miji yetu) lakini Bar sio za kuuliza!
-watanzania tunapenda vitu vinavyopoteza muda na kutuharibu.Kasumba ya namna hii ipo hadi Serikalini,ndio maana kwenye matukio mengi au tafrija za Serikali ni ngumu ukute waalikwa wa maana kutoka nyanja mbalimbali mfano Elimu(kwenye tamasha la kizmkazi huwez kuwaona wanafasihi au waandishi wa riwaya na michezo ya kuigiza,zaidi utawaona machawa)!!!
TUNASAFAR NDEFU
 
Uongozi makini wa Dr. Slaa ndio ulioiwezesha hiyo hospital ya CCBRT ifike hapo ilipo sasa.; kutoa huduma makini za kitabibu hasa kwa wale wasiojiweza! Acha uzushi hakutolewa pale kama Mwenyekiti wa ile hospital!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…