Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa namba ya simu yako ya nini kuianika hapa?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na kudharaulika na kila mtu. Haaminiki kwa yeyote wala kupewa faraja na yeyote.
Hakuna anayetaka kusimama na Dr Slaa kwa sasa, wala kuzungumza na Dr Slaa wala kupanga mipango au mikakati au ajenda au kuandaa sera na Dr Slaa, kwa sasa kila mtu na kila kundi au kila Taasisi au jumuiya inamuona Dr Slaa Kama mtu msaliti na mwenye ndimi mbili, Anaonekana kama mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi, mtu mwenye uchu wa madaraka na mroho wa mamlaka,mtu mwenye chuki na mnafiki.
Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake wala kumtetea kwa lolote.Amekatalika na vijana, wazee,akina mama, wajane na watu wa makundi yote. Dr Slaa aliyekuwa akisimama mahali anaitwa Rais Rais kwa mbwembwe na madoido sasa Hakuna anayetaka hata kumuona mbele yake wala kusikia maneno yake. Ufalme wake umedondoka na kuvunjika vunjika,haelewi ashike wapi au asimame wapi maana hakuna anapoaminika wala kupokeleka.
Vijana waliokuwa wakimpa jeuri ,kumuamini,kumpenda,kumpigania,kujitoa mhanga kwa ajili yake,kupoteza masomo na kufukuzwa vyuo kwa ajili yake,kukosana na watu kwa ajili yake kwa sasa hawana habari naye wala kutaka hata kumsikia wala kumuona machoni pao,hawataki kusikia sauti yake wala maneno yake,wanamuona kama msaliti na asiyefaa kabisa hapa Duniani.
wanajuta kumfahamu,wanajuta kupoteza na kupotezewa muda wao na Dr Slaa hasa wakikumbuka walivyopigwa mabomu ya machozi kwa ajili yake,kulala mahabusu kwa ajili yake,kupigwa mijeledi kwa ajili yake,kufilisiwa mali kwa ajili ya kumuunga mkono yeye,kutengwa na ndugu kwa ajili yake na kupoteza ndoto zao kwa ajili yake.kwa hakika wakikumbuka haya madhira wanamlaani sana Sana Dr Slaa,wanaona uchungu sana mioyoni mwao ,hawataki hata kumsikia na wanafurahi sana kwa uamuzi wa kijasiri na kishujaa aliouchukua mh Rais wetu mama Samia Suluhu Hasssan wa kumvua hadhi ya Ubalozi.
Kwa sasa Dr Slaa Hakuna anapokaribishwa kuweka hata miguu yake. Haelewi arudi nyuma au aende mbele,haelewi amuombe nani msamaha na ampigie nani magoti maana kila mahali anaona alishaharibu na kusaliti, kila mahali alishapoteza heshima yake,kila mahali alishapoteza uaminifu,kila mahali alishapoteza nguvu yake ,kila mahali alishaoonyesha kuwa siyo wa kuaminika wala kuaminiwa na kila mahali alishawaumiza na kuwajeruhi watu na mioyo yao inatiririka machozi na Damu ya mateso aliyoyawapatia na kuwasababishia .
Anamaliza uzee kwa majuto na maumivu ya hali ya juu sana,anamaliza kwa masononeko,anamaliza kwa kuiona Hadithi yake ikiwa mbaya na kitabu chake cha matendo yake kikitupwa chini na kusiginwa na kila mtu. Alioanza nao wote hawamtaki maana wote wanaona amekiuka viapo vyote alivyoapa na kuwasaliti.
Mtu na kiongozi pekee aliyekuwa amemsitiri na kumtunzia heshima alikuwa ni Amiri jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan.sasa Dr Slaa kwa chuki zake Binafsi akajiona kuwa yeye ni mwamba,Jemedari na komandoo.akaanza vituko hadi vya kuwaza habari za kutaka kumpindua Rais wetu na Serikali yake. Akaanza kuhamasisha machafuko na lugha za kuhatarisha usalama wa Taifa letu na umoja na mshikamano wetu kama Taifa,akaanza kuleta dharau na ubaguzi kwa mh Rais.Akaanza kutaka kuleta utani na mchezo na mboni na Nembo ya Taifa letu .
sasa amepigiwa baada ya kubipu.Simu moja tu imempa pigo la maisha ambalo hata lisahau,kwa kuwa alidhani watanzania wapo upande wake kumbe walishamtoa katika mioyo yao na kumpuuza siku nyingi sana.Sasa amekatalika kila sehemu na kuzomewa kila mahali, na kila mtu hayupo Tayari kumsemea wala kumtetea wala kumuunga mkono wala kusimama upande wake.
Namshauri tu kuwa Aende kanisani akapige magoti na kunyenyekea mbele za mwenyezi Mungu na kuomba msamaha Hadharani kwa Taifa letu.Bila kufanya hivyo kwa hakika Dr Slaa ataishi kwa mawazo na msongo wa mawazo mkubwa sana maana Hakuna kitu kibaya Duniani kama kukosa Amani ya moyo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mmemtumia mzee wa watu kufikia malengo yenu ya kisiasa na sasa mnajifanya hamna habari naye!! Ni kweli ana mapungufu yake, lakini niambie ni nani hana mapungufu?Huyo slaa ananyea kila kambi anayopitia.
Mtu wa hovyo, mwongo, mnafik, asiye na maadili, kuwahi kutokea Tanzania hii.
Dr Slaa Hawezi akawa Tunu kwa Taifa letu.Mimi nakupinga kabisa kwa hoja pia Lucas Mwashambwa moja Dr Slaa ni kati ya wanasiasa wenye msimamo sana katika karne hii. Kuhusu upadri sijui vizuri ingawa kwa mjibu wa kanisa katoliki kuacha upadri siyo kosa ukifuata utaratibu. Alijiunga na ccm akatoka kwenda chadema hilo siyo geni Kwa wanasiasa . Tatu amekuwa mwanachadema katibu mkuu na kufanya upinzani uwe na nguvu kuliko wakati wowote Kwenye siasa za nchi hii ghafula wakamletea Lowasa Chadema asiyemkubali akaondoka kumfuata Magufuli akatulia. Nne anakuja Samia hajakubali siasa zake na kuanza kumkosoa unasema ni mnafiki. Ok wanafiki ninyi ila huyu mzee pamoja na Walioba ni tunu ya taifa hili.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Very unprofessionalActually nqpingana kabisa wanaosema Dr Slaa msaliti na mnafiki...
Dr Slaa Yuko consistent kabisa...
Siku zote anapigania Kanisa katoliki baasi ..
Alijiunga Ccm kumfata mkatoliki mwenzie...na sasa anataka kujiunga Chadema au opposition kupambana na Rais ambae sio mkatoliki mwenzie...
Dr Slaa hajawahi saliti Kanisa lake.....
Hata walipo muadhibu Kwa "weakness yake Kwa wanawake" still amekuwa loyal na kupigania Kanisa...
Katika post zote ulizowahinandika hii ndo post ya maanaNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na kudharaulika na kila mtu. Haaminiki kwa yeyote wala kupewa faraja na yeyote.
Hakuna anayetaka kusimama na Dr Slaa kwa sasa, wala kuzungumza na Dr Slaa wala kupanga mipango au mikakati au ajenda au kuandaa sera na Dr Slaa, kwa sasa kila mtu na kila kundi au kila Taasisi au jumuiya inamuona Dr Slaa Kama mtu msaliti na mwenye ndimi mbili, Anaonekana kama mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi, mtu mwenye uchu wa madaraka na mroho wa mamlaka,mtu mwenye chuki na mnafiki.
Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake wala kumtetea kwa lolote.Amekatalika na vijana, wazee,akina mama, wajane na watu wa makundi yote. Dr Slaa aliyekuwa akisimama mahali anaitwa Rais Rais kwa mbwembwe na madoido sasa Hakuna anayetaka hata kumuona mbele yake wala kusikia maneno yake. Ufalme wake umedondoka na kuvunjika vunjika,haelewi ashike wapi au asimame wapi maana hakuna anapoaminika wala kupokeleka.
Vijana waliokuwa wakimpa jeuri ,kumuamini,kumpenda,kumpigania,kujitoa mhanga kwa ajili yake,kupoteza masomo na kufukuzwa vyuo kwa ajili yake,kukosana na watu kwa ajili yake kwa sasa hawana habari naye wala kutaka hata kumsikia wala kumuona machoni pao,hawataki kusikia sauti yake wala maneno yake,wanamuona kama msaliti na asiyefaa kabisa hapa Duniani.
wanajuta kumfahamu,wanajuta kupoteza na kupotezewa muda wao na Dr Slaa hasa wakikumbuka walivyopigwa mabomu ya machozi kwa ajili yake,kulala mahabusu kwa ajili yake,kupigwa mijeledi kwa ajili yake,kufilisiwa mali kwa ajili ya kumuunga mkono yeye,kutengwa na ndugu kwa ajili yake na kupoteza ndoto zao kwa ajili yake.kwa hakika wakikumbuka haya madhira wanamlaani sana Sana Dr Slaa,wanaona uchungu sana mioyoni mwao ,hawataki hata kumsikia na wanafurahi sana kwa uamuzi wa kijasiri na kishujaa aliouchukua mh Rais wetu mama Samia Suluhu Hasssan wa kumvua hadhi ya Ubalozi.
Kwa sasa Dr Slaa Hakuna anapokaribishwa kuweka hata miguu yake. Haelewi arudi nyuma au aende mbele,haelewi amuombe nani msamaha na ampigie nani magoti maana kila mahali anaona alishaharibu na kusaliti, kila mahali alishapoteza heshima yake,kila mahali alishapoteza uaminifu,kila mahali alishapoteza nguvu yake ,kila mahali alishaoonyesha kuwa siyo wa kuaminika wala kuaminiwa na kila mahali alishawaumiza na kuwajeruhi watu na mioyo yao inatiririka machozi na Damu ya mateso aliyoyawapatia na kuwasababishia .
Anamaliza uzee kwa majuto na maumivu ya hali ya juu sana,anamaliza kwa masononeko,anamaliza kwa kuiona Hadithi yake ikiwa mbaya na kitabu chake cha matendo yake kikitupwa chini na kusiginwa na kila mtu. Alioanza nao wote hawamtaki maana wote wanaona amekiuka viapo vyote alivyoapa na kuwasaliti.
Mtu na kiongozi pekee aliyekuwa amemsitiri na kumtunzia heshima alikuwa ni Amiri jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan.sasa Dr Slaa kwa chuki zake Binafsi akajiona kuwa yeye ni mwamba,Jemedari na komandoo.akaanza vituko hadi vya kuwaza habari za kutaka kumpindua Rais wetu na Serikali yake. Akaanza kuhamasisha machafuko na lugha za kuhatarisha usalama wa Taifa letu na umoja na mshikamano wetu kama Taifa,akaanza kuleta dharau na ubaguzi kwa mh Rais.Akaanza kutaka kuleta utani na mchezo na mboni na Nembo ya Taifa letu .
sasa amepigiwa baada ya kubipu.Simu moja tu imempa pigo la maisha ambalo hata lisahau,kwa kuwa alidhani watanzania wapo upande wake kumbe walishamtoa katika mioyo yao na kumpuuza siku nyingi sana.Sasa amekatalika kila sehemu na kuzomewa kila mahali, na kila mtu hayupo Tayari kumsemea wala kumtetea wala kumuunga mkono wala kusimama upande wake.
Namshauri tu kuwa Aende kanisani akapige magoti na kunyenyekea mbele za mwenyezi Mungu na kuomba msamaha Hadharani kwa Taifa letu.Bila kufanya hivyo kwa hakika Dr Slaa ataishi kwa mawazo na msongo wa mawazo mkubwa sana maana Hakuna kitu kibaya Duniani kama kukosa Amani ya moyo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wewe nae mambo ya watu ya vyumbani yanakuhusu nini? Wewe si una mume wako,hebu hangaika na ya chumbani kwako ya Slaa na Josefina waachie wenyewe.Alijidai eti kuukimbia ule mchezo pendwa wa maaskofu na mapadri.
Hivi josefina nae kamtema mzee?
Lucas,hivi wasaidizi wa Mama huwa hawapiti hapa nakuona mabandiko yako,kwamba hata ile number ya simu hawaioni kweli?Ungeonyesha wapi nilipo potosha
Nyie CHAWA WA MAMA si mlipigwa marufuku na chama chenu imekuwaje wewe bado upo?Tuliza kichwa
Hata wewe mpaka sasa kinachokusukuma kuflood JF na mada zako zisizo na kichwa wala miguu ni njaa zako.Tunaomba sana mamlaka za uteuzi wakuone wakupe kazi utupumzishe hapa na magazeti yako ya kila wakatiKila mtu alijuwa kuwa Dr Slaa Ni njaa na uchu na uroho wa madaraka ndio vinamsumbua sana.
Faiza nimecheka Sana
Yeye bado yupo mkuu,mpaka pale watakapompigia simu mamlaka za teuzi,huoni hapo mwisho lazima number ya simu awekeNyie CHAWA WA MAMA si mlipigwa marufuku na chama chenu imekuwaje wewe bado upo?
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na kudharaulika na kila mtu. Haaminiki kwa yeyote wala kupewa faraja na yeyote.
Hakuna anayetaka kusimama na Dr Slaa kwa sasa, wala kuzungumza na Dr Slaa wala kupanga mipango au mikakati au ajenda au kuandaa sera na Dr Slaa, kwa sasa kila mtu na kila kundi au kila Taasisi au jumuiya inamuona Dr Slaa Kama mtu msaliti na mwenye ndimi mbili, Anaonekana kama mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi, mtu mwenye uchu wa madaraka na mroho wa mamlaka,mtu mwenye chuki na mnafiki.
Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake wala kumtetea kwa lolote.Amekatalika na vijana, wazee,akina mama, wajane na watu wa makundi yote. Dr Slaa aliyekuwa akisimama mahali anaitwa Rais Rais kwa mbwembwe na madoido sasa Hakuna anayetaka hata kumuona mbele yake wala kusikia maneno yake. Ufalme wake umedondoka na kuvunjika vunjika,haelewi ashike wapi au asimame wapi maana hakuna anapoaminika wala kupokeleka.
Vijana waliokuwa wakimpa jeuri ,kumuamini,kumpenda,kumpigania,kujitoa mhanga kwa ajili yake,kupoteza masomo na kufukuzwa vyuo kwa ajili yake,kukosana na watu kwa ajili yake kwa sasa hawana habari naye wala kutaka hata kumsikia wala kumuona machoni pao,hawataki kusikia sauti yake wala maneno yake,wanamuona kama msaliti na asiyefaa kabisa hapa Duniani.
wanajuta kumfahamu,wanajuta kupoteza na kupotezewa muda wao na Dr Slaa hasa wakikumbuka walivyopigwa mabomu ya machozi kwa ajili yake,kulala mahabusu kwa ajili yake,kupigwa mijeledi kwa ajili yake,kufilisiwa mali kwa ajili ya kumuunga mkono yeye,kutengwa na ndugu kwa ajili yake na kupoteza ndoto zao kwa ajili yake.kwa hakika wakikumbuka haya madhira wanamlaani sana Sana Dr Slaa,wanaona uchungu sana mioyoni mwao ,hawataki hata kumsikia na wanafurahi sana kwa uamuzi wa kijasiri na kishujaa aliouchukua mh Rais wetu mama Samia Suluhu Hasssan wa kumvua hadhi ya Ubalozi.
Kwa sasa Dr Slaa Hakuna anapokaribishwa kuweka hata miguu yake. Haelewi arudi nyuma au aende mbele,haelewi amuombe nani msamaha na ampigie nani magoti maana kila mahali anaona alishaharibu na kusaliti, kila mahali alishapoteza heshima yake,kila mahali alishapoteza uaminifu,kila mahali alishapoteza nguvu yake ,kila mahali alishaoonyesha kuwa siyo wa kuaminika wala kuaminiwa na kila mahali alishawaumiza na kuwajeruhi watu na mioyo yao inatiririka machozi na Damu ya mateso aliyoyawapatia na kuwasababishia .
Anamaliza uzee kwa majuto na maumivu ya hali ya juu sana,anamaliza kwa masononeko,anamaliza kwa kuiona Hadithi yake ikiwa mbaya na kitabu chake cha matendo yake kikitupwa chini na kusiginwa na kila mtu. Alioanza nao wote hawamtaki maana wote wanaona amekiuka viapo vyote alivyoapa na kuwasaliti.
Mtu na kiongozi pekee aliyekuwa amemsitiri na kumtunzia heshima alikuwa ni Amiri jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan.sasa Dr Slaa kwa chuki zake Binafsi akajiona kuwa yeye ni mwamba,Jemedari na komandoo.akaanza vituko hadi vya kuwaza habari za kutaka kumpindua Rais wetu na Serikali yake. Akaanza kuhamasisha machafuko na lugha za kuhatarisha usalama wa Taifa letu na umoja na mshikamano wetu kama Taifa,akaanza kuleta dharau na ubaguzi kwa mh Rais.Akaanza kutaka kuleta utani na mchezo na mboni na Nembo ya Taifa letu .
sasa amepigiwa baada ya kubipu.Simu moja tu imempa pigo la maisha ambalo hata lisahau,kwa kuwa alidhani watanzania wapo upande wake kumbe walishamtoa katika mioyo yao na kumpuuza siku nyingi sana.Sasa amekatalika kila sehemu na kuzomewa kila mahali, na kila mtu hayupo Tayari kumsemea wala kumtetea wala kumuunga mkono wala kusimama upande wake.
Namshauri tu kuwa Aende kanisani akapige magoti na kunyenyekea mbele za mwenyezi Mungu na kuomba msamaha Hadharani kwa Taifa letu.Bila kufanya hivyo kwa hakika Dr Slaa ataishi kwa mawazo na msongo wa mawazo mkubwa sana maana Hakuna kitu kibaya Duniani kama kukosa Amani ya moyo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Navyowasoma wewe na dokta silaa mnaendana... ni washabiki wa dini zenu badala ya Mungu wa kweli!!Huyo slaa ananyea kila kambi anayopitia.
Mtu wa hovyo, mwongo, mnafik, asiye na maadili, kuwahi kutokea Tanzania hii.
Nani amtumie yule? Labda mwenyewe alikuwa anajipendekeza kwa thamani ndogo.Mmemtumia mzee wa watu kufikia malengo yenu ya kisiasa na sasa mnajifanya hamna habari naye!! Ni kweli ana mapungufu yake, lakini niambie ni nani hana mapungufu?
Wewe wacha ujinga, mnajulikana nyinyi ambao lilikuwa pango lenu lile la wizi.Navyowasoma wewe na dokta silaa mnaendana... ni washabiki wa dini zenu badala ya Mungu wa kweli!!
Mtoa madam yeye nishabiki wa chama Hana tofauti na ninyi pia,sisi tusosukumwa na vikundi tunaangalia ukweli na kuuunga mkono hatuangalii mtu,chama ama dini!
Mkataba bandari ni usaliti na upuuzi mkubwa! Tunataka katiba mpyaaaa
Dr Slaa Hana ajenda zenye maslahi kwa Taifa letu zaidi ya kuwa na ajenda binafsi zenye maslahi binafsi kwake. Ndio maana unaona alitowa maneno ya kutaka kupindua serikali.Tunasimama na Dr. Slaa. Hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa bali malengo na agenda!
Soma mada.Wewe nae mambo ya watu ya vyumbani yanakuhusu nini? Wewe si una mume wako,hebu hangaika na ya chumbani kwako ya Slaa na Josefina waachie wenyewe.
Halafu bila aibu kabisa unamwita Slaa Mzee unasahau wewe ni kikongwe pia.